Kituo Kikubwa Cha Mikutano "MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." Kujengwa Jijini Arusha

Nani anajenga hii na kwa bajeti kutoka wapi? Mbona stendi tuu ya mkoa Wa Arusha imeendekea kutia aibu na hakuna anayetoa neno?
Kila kitu kina bajeti yake mkuu
Stendi ina mradi wake unaitwa tactic
Vyote vitajengwa ila vinahitaji subra bukoba, mbeya hawana stend hata hiyo ya dar imezinduliwa juzi tu
 
Issue ya Bandari ndio mpango mzima hizi hadaa za majenzi hazina maana.
 
Mount Kilimanjaro halafu mnakijengea Arusha, kwanini isiwe Mount Meru Convention Center?
Swali lako lina mantiki.
Halafu si kuna mpango wa kujenga tena ukumbi mkubwa was mikutano Ikulu ya Dom??!!
Vipaumbele vyetu vya ajabu sana!
 
Swali lako lina mantiki.
Halafu si kuna mpango wa kujenga tena ukumbi mkubwa was mikutano Ikulu ya Dom??!!
Vipaumbele vyetu vya ajabu sana!
Kilimanjaro ni alama ya nchi na sio jina lenye hati miliki hata Daresalaam kuna hoteli inaitwa Kilimanjaro, boat za kwenda zanzibar zimeandikwa hivyo na pia ukiita itatangaza zaidi nchi pale mgeni anaposema amefikia kilimanjaro
 
Yes, hilo eneo la AICC Themi Hill halipendezi kukaa utupu vile katikati ya mji,

Miaka na miaka watu tunasoma hadi tunazeeka liko tu vile, fhhh
 
Saa100 si alisema serikali haifanyi biashara
 
Huo ulikuwa mpango wa siku nyingi sana... sema toka Magufuli aingie madarakani mradi ule mkubwa ukawa umekufa kwa maji...

naona mradi huo umerudi tena ... hongeara sana
Magufuli anaingiaje hapa au unamimba ya magufuli
 


Nani atasimamia? Serikali haiwezi fanya biashara, na mmekiri hamuwezi, au ni DP World?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…