Kituoa cha Sheria na Haki za Binadamu mmetuangusha!!

Kitendo cha LHRC kuandika hii taarifa ni kwamba kila mtu muhimu/taasisi/ngo wataogopa kujihusisha na Makonda. Kitendo tu Cha Makonda leo kutembelea banda lao tayari imekuwa doa kubwa kwao na kuamua kuondoa picha na hatimaye kutoa hii taarifa.

Makonda atatengwa na mwisho atabaki peke yake hakuna atakayejihususha naye kwa sababu kila atakayejihusisha naye ataonekana anashabikia ukiukwaji wa haki za raia nchini
 
Ivi Makonda bado yupo ofisini kweli? Magufuli hayupo makini na uyu jamaa atamponza.

Atamfukuzaje na yeye ndio alikuwa anamtuma muda wote kufanyizia watu? Muda wote walijawa kiburi maana hakuna aliyekuwa anawahoji hivyo wakaweza kufanya lolote, bila kujua US ana mkono mrefu kuliko serikali na nchi yetu.
 
Hao wote wanafadhiliwa na Mmarekani. Hao LHRC mbona hatujaona makalipio wanayoyatoa dhidi ya Marekani kuwaua na kuwatesa Binadamu Wengine kwa kiaingizio cha Demokrasia.
Wamewaua Watu kwa kutumia watu Wengine ili tu wao Watengeneze story kuwa wao ni bora zaidi ya Wengine. Tuache tabia ya kumwamubu Marekani. Naweza tamka wazi kuwa nao ni Magai
 
mkuu naungana na wewe 100%.. ni kwann sisi wabongo hatujikubali!? au ndo hiki kitu ni wanasema ukoloni mambo leo!? binafsi sielewi! where are our guts;?. trump au mfuasi wake(mzito) leo akisema anakuja bongo utaona tena tunapigwa marufuku kwenda posta na kandambili zetu! ila wao wakimpiga ban mtu wa kwetu tunashadadia ujinga tu.

au ndo vile mzee mwinshehe alituimba!? BINadamu sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…