YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hicho kituo wendawazimu kwa hiyo makonda haruhusiwi kuomba mdaada wa kisheria kwao akitaka? Au hawezi muombea mtu mwingine msaada wa kisheria kwao? Kea hiyo Banda lao la maonyesho so kila mtu anaruhusiwa kuliingia Nini maana ya Banda la maonyesho.Wanasheria pumbafu kabisa Hawa.Banda la maonyesho Ni for public anybody can visit
Halafu wao wangejijenga Sana hapo Mfano Kuna kitu wamekiona Cha uvunjaji Hali za binadamu mkoani kwake wangemweleza live na kutoa statement kuwa Makonda tulimwrleza live kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu mkoani mwake CV yao ingekuwa juu Hadi nje ya nchi kuwa wameitumia nafasi vizuri na wangepongezwa hata na hao mabeberu.
Hi statement imejaa utoto wa kisheria haionyeshi ukomavu wa kisheria