Kituoa cha Sheria na Haki za Binadamu mmetuangusha!!

Hao wote wanafadhiliwa na Mmarekani. Hao LHRC mbona hatujaona makalipio wanayoyatoa dhidi ya Marekani kuwaua na kuwatesa Binadamu Wengine kwa kiaingizio cha Demokrasia.
Wamewaua Watu kwa kutumia watu Wengine ili tu wao Watengeneze story kuwa wao ni bora zaidi ya Wengine. Tuache tabia ya kumwamubu Marekani. Naweza tamka wazi kuwa nao ni Magai
Hee ndimba nungwe ulambalele pakisyanju?uligwakokugu gwe ntwa Mwikemo!? Untwa gummenye?nguswiga loli??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wote wanafadhiliwa na Mmarekani. Hao LHRC mbona hatujaona makalipio wanayoyatoa dhidi ya Marekani kuwaua na kuwatesa Binadamu Wengine kwa kiaingizio cha Demokrasia.
Wamewaua Watu kwa kutumia watu Wengine ili tu wao Watengeneze story kuwa wao ni bora zaidi ya Wengine. Tuache tabia ya kumwamubu Marekani. Naweza tamka wazi kuwa nao ni Magai

Sisi hatujali Marekani anamuua maana hatujamchagua. Lakini hatuko tayari rais na genge lake la kina Makonda kutunyanyasa, na kutuwekea viongozi wanaowataka wao. Hivyo tutawaunga mkono US kwa hatua kali watakazoichukulia nchi yetu.
 
Ivi Makonda bado yupo ofisini kweli? Magufuli hayupo makini na uyu jamaa atamponza.
Makonda aombe Magu abakie milele vinginevyo ICC itamshukia

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Makonda tuu babu wew wacha now na sie tuji mwambafai sasa. Hata Meko na vibaraka wake wanahusika. Akitoka tuu madarakani utaona utitiri wa tuhuma zake na vibaraka wake wanahitajika ICC. Mwanzo ngoma ni kelele.
Stay tuned we do believe in da People's of America.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui wametumika!!!

Ngozi nyeusi ni tatizo sana!!!

Baba yako ni ngozi nyeusi na yeye ndo tatizo namba moja na ukoo wako, ndo maana una low IQ kama mbuzi, wewe ni nani hadi watu wote waishi utakavyo?
 
Kitendo cha LHRC kuandika hii taarifa ni kwamba kila mtu muhimu/taasisi/ngo wataogopa kujihusisha na Makonda. Kitendo tu Cha Makonda leo kutembelea banda lao tayari imekuwa doa kubwa kwao na kuamua kuondoa picha na hatimaye kutoa hii taarifa.

Makonda atatengwa na mwisho atabaki peke yake hakuna atakayejihususha naye kwa sababu kila atakayejihusisha naye ataonekana anashabikia ukiukwaji wa haki za raia nchini
Wenyewe wanajisifu eti ameongezewa umaarufu na Marekani kaaah yani akili za Hawa wanazi wa makonda Ni huzuni kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu naungana na wewe 100%.. ni kwann sisi wabongo hatujikubali!? au ndo hiki kitu ni wanasema ukoloni mambo leo!? binafsi sielewi! where are our guts;?. trump au mfuasi wake(mzito) leo akisema anakuja bongo utaona tena tunapigwa marufuku kwenda posta na kandambili zetu! ila wao wakimpiga ban mtu wa kwetu tunashadadia ujinga tu.

au ndo vile mzee mwinshehe alituimba!? BINadamu sisi.
Tunashadadia kwa sababu huyu Ni mtesi wetu na sie wanyonge hatuna la kumfanya. Adui wa adui yako Ni rafiki yako Tena kipenzi kabisa

Hapa nafikiria kushona shati Kama la Lugola mifuko niweke bendera za USA

asante mkuu.. sikulaumu maana ujinga ulionao ni matokeo ya serikali ya ubongo wako kutokujadiliana na cabinet kuu ya jamhuri ya kichwa chako.
 
Kitendo cha LHRC kuandika hii taarifa ni kwamba kila mtu muhimu/taasisi/ngo wataogopa kujihusisha na Makonda. Kitendo tu Cha Makonda leo kutembelea banda lao tayari imekuwa doa kubwa kwao na kuamua kuondoa picha na hatimaye kutoa hii taarifa.

Makonda atatengwa na mwisho atabaki peke yake hakuna atakayejihususha naye kwa sababu kila atakayejihusisha naye ataonekana anashabikia ukiukwaji wa haki za raia nchini
Sikujua kama Tanzania Rais wake anaitwa Trump, nilifikiri Magufuli ni Rais wa Tanzania na Paul Makonda ni mteule wa Rais Magufuli. Sasa kama Trump au serikali ya Amerika imemzuia Mkuu wetu mpendwa wa Mkoa Paul Makonda kuingia Amerika ni sawa. Ni uamuzi wao kwa vile ni nchi yao. Kwa sababu ya uamuzi wao huo ambao ushahidi hawana utufanye sisi katika sovereign state tubabaike na kuacha kufanya shughuli zetu za kawaida? Hayo mambo yenu ya kanga pelekeni kwenye kuwacheza unyago mashoga wenu.

Sisi ni wanaume rijali hatutakubali eti tunaishi kwa ajili ya Amerika? Mambo ya Tanzania ni ya Tanzania nasi tuta retaliate vile vile. Tukiwafungia kuingia kuwaangalia wanyama wetu watatufanya nini?

Na tunaweza tukazuia activities zote wanazo zifanya hapa kwetu katika uchunguzi wa magonjwa ya Tropical kwa binadam na wanyama kwa mfano nani wataathirika?

Serikali yatu ina reserve ya US Dollar Billion 5.6 what is US Dollar million 500. It is nothing! Tuna weza kutoka kwenye Reserve yetu nani atapata hasara, sisi au world Bank?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu kaambiwa"Ananyang'anya watu haki ya kuishi" by Michael pompeo
 
Sikujua kama Tanzania Rais wake anaitwa Trump, nilifikiri Magufuli ni Rais wa Tanzania na Paul Makonda ni mteule wa Rais Magufuli. Sasa kama Trump au serikali ya Amerika imemzuia Mkuu wetu mpendwa wa Mkoa Paul Makonda kuingia Amerika ni sawa. Ni uamuzi wao kwa vile ni nchi yao. Kwa sababu ya uamuzi wao huo ambao ushahidi hawana utufanye sisi katika sovereign state tubabaike na kuacha kufanya shughuli zetu za kawaida? Hayo mambo yenu ya kanga pelekeni kwenye kuwacheza unyago mashoga wenu.
Sisi wananchi wanyonge tunasubiri kwa hamu kuona mnavyoiwekea vikwazo USA kulipiza kisasi. Tena vikwaso muwekeeni Trump kabisa ili asikanyage nchini.

Sisi ni wanaume rijali hatutakubali eti tunaishi kwa ajili ya Amerika? Mambo ya Tanzania ni ya Tanzania nasi tuta retaliate vile vile. Tukiwafungia kuingia kuwaangalia wanyama wetu watatufanya nini?

Kwa vile Tanzania ndiyo nchi pekee duniani iliyoko ukanda wa Tropic

Sisi ni wanaume rijali hatutakubali eti tunaishi kwa ajili ya Amerika? Mambo ya Tanzania ni ya Tanzania nasi tuta retaliate vile vile. Tukiwafungia kuingia kuwaangalia wanyama wetu watatufanya nini?
Mnyama gani mliyenaye ambaye kwao hayupo? Na wamewachukua hapa hapa kwa kushirikiana na wezi wa ccm
Serikali yatu ina reserve ya US Dollar Billion 5.6 what is US Dollar million 500. It is nothing! Tuna weza kutoka kwenye Reserve yetu nani atapata hasara, sisi au world Bank?
Sasa mnalia lia nn kumshutumu Zito. Chukueni basi tuone kama mnazo. Na mngekuwa na hela bajeti yenu inhetegemea mabeberu kwa 44%?
 
mkuu naungana na wewe 100%.. ni kwann sisi wabongo hatujikubali!? au ndo hiki kitu ni wanasema ukoloni mambo leo!? binafsi sielewi! where are our guts;?. trump au mfuasi wake(mzito) leo akisema anakuja bongo utaona tena tunapigwa marufuku kwenda posta na kandambili zetu! ila wao wakimpiga ban mtu wa kwetu tunashadadia ujinga tu.

au ndo vile mzee mwinshehe alituimba!? BINadamu sisi.

Tujikubali kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe? Kwa Ku-Tundulisu-ana? Kwa kupoteazena wenyewe kwa wenyewe? Tujikubali kwa kubambikiziwa kesi za uhujumu uchumi kisa kuikosoa serikali? Tujikubali kwa kuwanyanyasa wapinzani, waandishi wa habari, asasi za kiraia zinazoikosoa serikali etc? Tujikubali kwa yapi kwa mfano?..

Watu mnajifanya hamjuhi tatizo ni nini hasa. Mbona hatukuwahi kuwa kwenye hii situation kwenye tawala zilizopitia?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ulitegemea hao LHRC waache kuunga mkono USA wakati pesa wanapata kutoka huko unataka wafe njaa!
Nataka wawaunge sana mkono USA maana hao mabeberu ndiyo pekee wamebaki kuipanda hii mijike ya mbuzi inayotesa wanyonge kwa kisingizio cha uzalendo.

Kama LHRC wanaunga mkono USA wapo vizuri sana. Tuzidi kuwaombea dua
 
Hata sisi tunaomba waendelee kutubana ili tuwajue vibaraka na Malaya wa hapa nchini ili vita ikianza tuwamalize kabisa kabla hawajafika.
Una uhakika mtashinda?
 
Back
Top Bottom