By Mwandishi Wetu, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Marekani imepiga marufuku Watanzania kushiriki bahati nasibu y...
lukemusicfactory.blogspot.com
Umeipata hiyo? Acheni mihemuko. Kuweni wanaume na sio majike. Mkitiswa kidogo basi mnabaha. Komaeni.
Nyie enzi za vita vya Kagera msingeweza shinda vita. Mmelelewa kishogashoga na Rais wenu Mkwere yule. Hii nchi hivi sasa inatawaliwa na wanaume!!
[QOUTE]Mnyama gani mliyenaye ambaye kwao hayupo? Na wamewachukua hapa hapa kwa kushirikiana na wezi wa ccm[/QOUTE]Eti nini? Wezi wa CCM? CCM ipi? Iliyo ongozwa na Mkwere kama wewe? Mwanamme utakubali kuongozwa na watu dhaifu kama akina Kinana na Nape? Ndiyo maana sioni hajabu tuna watu ambao ni "memme"kama wewe. Uwoga mwingiii!
[QOUTE]Sasa mnalia lia nn kumshutumu Zito. Chukueni basi tuone kama mnazo. Na mngekuwa na hela bajeti yenu inhetegemea mabeberu kwa 44%?[/QOUTE]Nasikita hauko up to date. Hiyo ilikuwa asilimia ya Kikwete 2010 to 2015. Msukuma wetu ametushusha mpaka 13% na mwaka huu itashuka zaidi. Hilo ni Jembe "mgosi".
Sasa sielewi mnacho kitaka ni nini? Wakati wa kununua ndege si mliitukana serikali kuwa ni serikali ya kijinga kununua ndege cash. Leo tunachukua mkopo ili hela zetu za ndani zitumike katika miradi mingine hiyo pia nayo hamtaki. Mnataka nini sasa?
Kwa kifupi mkuu wapinzani mmeshindwa kuwashawishi watanzania walio wengi kukubaliana na sera zenu mbaya na potofu za kimkakati. Ndiyo maana mnakimbilia kwa mabeberu wenu mkitegemea wao wawasaidie. Niwakatishe tamaa hamtaweza.
Jaribu kuangalia mahesabu. CCM ina members wa chama chao karibu milioni 21. Nyie wote kwa pamoja hata kama mgekuwa na wanachama milion 5 bado hamjawashinda CCM kwa kutumia empirical Methodes (Kama uliyaona mahesabu vizuri chuoni utaniaelewa). Tukijumlisha na watanzania kama milion 10 ambao sio wanachama na ambao mtanyanganyana na CCM bado mta loose!
Sielewi huo ujasiri wa kudai kuwa mkipata tume huru na kubadili katiba ndiyo itawasaidia nyinyi kushinda uchaguzi sijui mnautoa wapi?
Kwenye vichwa vya Watanzania wamesha mchagua Rais wao naye ni JPM, utake usitake.That is the fact!!!
Sent using
Jamii Forums mobile app