Kiufundi, Rais Samia umepotoshwa kuhusu mfumuko wa bei kutokana na Vita na ukapotosha

Kiufundi, Rais Samia umepotoshwa kuhusu mfumuko wa bei kutokana na Vita na ukapotosha

Bidhaa zinaenda kupanda hilo halikwepeki sababu tunaimport kubwa pasipo mbadala, la kufanya ni kurudisha fedha kwa wananchi, Purchasing power iongezeke. wananchi wawe na fedha. Nchi tunajitahidi kuhakikisha mzunguko wa fedha nao unaongezeka. Vijana, kina mama wasio watumishi wa uma Kaeni kwenye vikundi na muwe na shughuli ili ongezeko liwaguse, wafanyabiashara wakubwa deposit sasa zinaongezeka na uwezo wa mabank kukopesha unakua huku serikali ikirekebisha sera za reserves na riba kuwaongezea uwezo ili mkope. Watumishi wa Uma njia sahihi ya uhakika ni kupanda kwa mishahara tuombe bajeti ijayo kama itawezekana.
 
Bidhaa zinaenda kupanda hilo halikwepeki sababu tunaimport kubwa pasipo mbadala, la kufanya ni kurudisha fedha kwa wananchi, Purchasing power iongezeke. wananchi wawe na fedha. Nchi tunajitahidi kuhakikisha mzunguko wa fedha nao unaongezeka. Vijana, kina mama wasio watumishi wa uma Kaeni kwenye vikundi na muwe na shughuli ili ongezeko liwaguse. Watumishi wa Uma njia sahihi ya uhakika ni kupanda kwa mishahara tuombe bajeti ijayo kama itawezekana.
Vikundi vya kuchukulia pesa havijawahi kua mkombozi wa uchimi hizi ni propaganda... Pasipo mkakati wa kuviwezesha kitaaluma na uzoefu ni kukiuka taratibu za huduma za mikopo
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Vikundi vya kuchukulia pesa havijawahi kua mkombozi wa uchimi hizi ni propaganda... Pasipo mkakati wa kuviwezesha kitaaluma na uzoefu ni kukiuka taratibu za huduma za mikopo
Kila kitu kina udhaifu ambao unarekebishwa kila wakati na kubinya mianya inayozuia hizo fedha zisifike kwa wananchi.
Vikundi ni njia ya haraka ya kuifikisha fedha ya serikali kwa wananchi na kuongeza mzunguko. Narudia, njia ya haraka ya kufikisha fedha kwa wananchi. Sasa mwanakikundi akishindwa kuitumia hiyo fedha ikaenda kwa mwananchi mwingine nia ya serikali bado haijapotea maana pesa ipo kwenye mzunguko na ipo kwa mwananchi. Ndio maana zile pesa hazina riba na serikali ina namna yake ya kuchukua fedha kutoka kwa wananchi kama wataona zimezidi.
 
Hiyo vita hadi sasa haijaathiri supply ya mafuta na gesi kutoka urusi kwenda ulaya, jana marekani ndo kaweka zuio kuingiza mafuta na gesi kutoka urusi, lakini fahamu kuwa marekani hategemei sana mafuta na gesi kutoka urusi (anaagiza kama asilimia 3 pekee ya mahitaji yake). Kwa hiyo utaona kwamba hiyo vita hadi sasa haijaleta crisis kubwa kwenye vyanzo vya nishati kwa mataifa makubwa kutafuta vyanzo mbadala tofauti na urusi. Tusianze kukwepa uwajibikaji na kuchochea bei za vitu kupanda kwa kutoa cheap assumptions......​
 
Huyu mswazi atatuua jamani mpka bia zitapanda
 
Amepotoshwa kivipi?Kwani yeye kama yeye hana akili ya kuchambua mambo na kujua ukweli?

Taifa ambalo linakubali kuwepo bila Rais kama Tanzania lina laana.

Imagine nchi ina Rais hewa ambae muda wote yupo busy kutafuta chaka la kuficha uzembe,mauchafu pamoja na madhaifu ya Serikali yake.Hangaya is the inept hopeless leader.
 
Back
Top Bottom