Kiufundi, Rais Samia umepotoshwa kuhusu mfumuko wa bei kutokana na Vita na ukapotosha

Kiufundi, Rais Samia umepotoshwa kuhusu mfumuko wa bei kutokana na Vita na ukapotosha

Amepotoshwa kivipi?Kwani yeye kama yeye hana akili ya kuchambua mambo na kujua ukweli?

Taifa ambalo linakubali kuwepo bila Rais kama Tanzania lina laana.

Imagine nchi ina Rais hewa ambae muda wote yupo busy kutafuta chaka la kuficha uzembe,mauchafu pamoja na madhaifu ya Serikali yake.Hangaya is the inept hopeless leader.
Unaweza ukawa na point ila uwasilishaji! Kikubwa tutafute namna yankuokoa taifa letu
 
Hiyo vita hadi sasa haijaathiri supply ya mafuta na gesi kutoka urusi kwenda ulaya, jana marekani ndo kaweka zuio kuingiza mafuta na gesi kutoka urusi, lakini fahamu kuwa marekani hategemei sana mafuta na gesi kutoka urusi (anaagiza kama asilimia 3 pekee ya mahitaji yake). Kwa hiyo utaona kwamba hiyo vita hadi sasa haijaleta crisis kubwa kwenye vyanzo vya nishati kwa mataifa makubwa kutafuta vyanzo mbadala tofauti na urusi. Tusianze kukwepa uwajibikaji na kuchochea bei za vitu kupanda kwa kutoa cheap assumptions......​
Kipindi anaanza uongozi alichagua washauri ambao ni wataalamu wako wap?
 
Kila kitu kina udhaifu ambao unarekebishwa kila wakati na kubinya mianya inayozuia hizo fedha zisifike kwa wananchi.
Vikundi ni njia ya haraka ya kuifikisha fedha ya serikali kwa wananchi na kuongeza mzunguko. Narudia, njia ya haraka ya kufikisha fedha kwa wananchi. Sasa mwanakikundi akishindwa kuitumia hiyo fedha ikaenda kwa mwananchi mwingine nia ya serikali bado haijapotea maana pesa ipo kwenye mzunguko na ipo kwa mwananchi. Ndio maana zile pesa hazina riba na serikali ina namna yake ya kuchukua fedha kutoka kwa wananchi kama wataona zimezidi.
Ni sawa ila lengo langu usimamizi uzingatiwe sio ishu pesa imfikie mwananchi Bali ilete Tina kwenye kupunguza umaskini.
Nadhani unafaham pesa hizi hatakurudishwa serikali ni ishu watu wanapita Nazi mbele... Mfano kwenye Katz yangu ni vikundi 6 tuu vilipata na ni kimoja tuu kimerudisha mwaka wa pili sasa haieleweki. Ndo mana tunasema bila usimamizi wa fedha tutajaza maji kwenye net.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Rais Samia ni muhimu ajitathimini kwa kauli zake hizo.....nchi zingine zinaweka mikakati ya kujipanga na hali ya kiuchumi inayoweza kujitokeza...yeye anawabariki wafanyabiashara wakubwa watumie fursa.

Sijui Mungu kwanini ulimchukua Magufuli mapema hivi bora ungetuchukua wananchi wote wa mkoa wa Mara umuache huyu MAGUFULI.

Ombwe LA uongozi liko wazi.
Nenda katubu kwa Mungu wako
 
Back
Top Bottom