Bidhaa zinaenda kupanda hilo halikwepeki sababu tunaimport kubwa pasipo mbadala, la kufanya ni kurudisha fedha kwa wananchi, Purchasing power iongezeke. wananchi wawe na fedha. Nchi tunajitahidi kuhakikisha mzunguko wa fedha nao unaongezeka. Vijana, kina mama wasio watumishi wa uma Kaeni kwenye vikundi na muwe na shughuli ili ongezeko liwaguse, wafanyabiashara wakubwa deposit sasa zinaongezeka na uwezo wa mabank kukopesha unakua huku serikali ikirekebisha sera za reserves na riba kuwaongezea uwezo ili mkope. Watumishi wa Uma njia sahihi ya uhakika ni kupanda kwa mishahara tuombe bajeti ijayo kama itawezekana.