Kiufundi, Rais Samia umepotoshwa kuhusu mfumuko wa bei kutokana na Vita na ukapotosha

Asalaam wadau!

Kauli ya Mh. Rais Jana ni kauli yenye kosa kuubwa saana LA kiufundi ambalo litagharimu saana raia ama taifa.

Yaan kavita ka wiki mbili unatamka kataleta mfumuko wa bei zaidi ya huu. Mama kuwa makini na wanaokushauri.

Unajua kwanini kiufundi umekosea?

Kauli yako yoyote unayoitoa uwe na furaha saana ama hasira saana hio ni amri... Na wahusika wataji activate katika hilo fast hata kama litavunja sheria au kuumiza pasipo ulazima.

Mama Jana umetamka tuu Leo mkeka wa bei mpya Zanzibar umetoka sasa tunasubiri bara, sa na huduma zingine muhimu sijui itakuaje?

Yaan nchi inakuaa kama haina stock yaan pakitokea changamoto kidogo tuu basi reactions hasi hutokea Mara moja ila kurecover huwa tunakua wa mwisho.

Mh. Rais nilitegemea useme kwamba pamoja na vita inayoendelea inaweza kutuathiri lakini serikali yetu imejipanga kuhakikisha haituathiri saana na madhara yake"

tofauti na kauli yako ambayo ni sawa na umefungulia mbwa wabweke na kufanya watakavyo kwakua mfugaji wao umewaruhusu.

Tuonee huruma sisi watanzania wengi maskini, matajiri ni wachache saana.

Nawasilisha.
Rais anaamua kuwa mkweli, hawezi kuendekeza siasa kisa aonekane yupo na wananchi.
 
Ile kauli hata kama hakuna mfumuko wa bei, wafanyabiashara wataitumia kama green light kupandisha bei.

Ni kama inachochea mfumuko wa bei.

Rais anatoka kuwa Samia mpaka kuwa Sazero sasa hivi.
 
Yaan kavita ka wiki mbili unata

Kaka sijui unaishi Dunia gani??? "kavita ya wiki mbili"??
Kavita yako imetosha kupandisha bei ya mafuta ya magari huko Ulaya kutoka Euro 1.60 wiki mbili zilizopita kufikia Euro 2.05 leo, itaendelea kupanda. Dizeli iumeshkuwa ghali kuliko petroli mara ya kwanza katika historia kule.
Sasa uanamini badiliko hili la bei kwenye soko la Dunia halitaathiri nchi kama Tanzania??? Bei ya mafuta haitapamda hapa????
BAsi endelea kuota ndoto!

(pamoja na hayo: Ukraine ni kati ya nchi zinazopeleka nafaka nyingi kama ngano kwenye soko la Dunia. Sasa inakwisha. Hivyo bei ya vyakula kwenye soko la Dunia imeanza kupanda. hakika itaathiri nchi nyingi za Afrika. Hii ni njia mojawapo jinsi gani mkorofi anaweza kusababisha vifo vingi)
 
Asalaam wadau!

Kauli ya Mh. Rais Jana ni kauli yenye kosa kuubwa saana LA kiufundi ambalo litagharimu saana raia ama taifa.

Yaan kavita ka wiki mbili unatamka kataleta mfumuko wa bei zaidi ya huu. Mama kuwa makini na wanaokushauri.

Unajua kwanini kiufundi umekosea?

Kauli yako yoyote unayoitoa uwe na furaha saana ama hasira saana hio ni amri... Na wahusika wataji activate katika hilo fast hata kama litavunja sheria au kuumiza pasipo ulazima.

Mama Jana umetamka tuu Leo mkeka wa bei mpya Zanzibar umetoka sasa tunasubiri bara, sa na huduma zingine muhimu sijui itakuaje?

Yaan nchi inakuaa kama haina stock yaan pakitokea changamoto kidogo tuu basi reactions hasi hutokea Mara moja ila kurecover huwa tunakua wa mwisho.

Mh. Rais nilitegemea useme kwamba pamoja na vita inayoendelea inaweza kutuathiri lakini serikali yetu imejipanga kuhakikisha haituathiri saana na madhara yake"

tofauti na kauli yako ambayo ni sawa na umefungulia mbwa wabweke na kufanya watakavyo kwakua mfugaji wao umewaruhusu.

Tuonee huruma sisi watanzania wengi maskini, matajiri ni wachache saana.

Nawasilisha.
Hakuna mahali popote alipopotoshwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Yaani bei imepanda juzi eti athari tayari huku TZ...yaani sijui mfano hayo mafuta yaliyopanda bei yamekuja na ndege?maana kama ni meli kuna muda Upite ndo yafike.haya yaliyopanda yalikuwa humu tayari nchini kwenye reserve tanks zilizotapakaa nchi nzima kwa kivuli cha vituo vya mafuta...viongozi badala ya kutatua shida wanashugulika na kutafuta excuse kwa yanayojitokeza
 
Asalaam wadau!

Kauli ya Mh. Rais Jana ni kauli yenye kosa kuubwa saana LA kiufundi ambalo litagharimu saana raia ama taifa.

Yaan kavita ka wiki mbili unatamka kataleta mfumuko wa bei zaidi ya huu. Mama kuwa makini na wanaokushauri.

Unajua kwanini kiufundi umekosea?

Kauli yako yoyote unayoitoa uwe na furaha saana ama hasira saana hio ni amri... Na wahusika wataji activate katika hilo fast hata kama litavunja sheria au kuumiza pasipo ulazima.

Mama Jana umetamka tuu Leo mkeka wa bei mpya Zanzibar umetoka sasa tunasubiri bara, sa na huduma zingine muhimu sijui itakuaje?

Yaan nchi inakuaa kama haina stock yaan pakitokea changamoto kidogo tuu basi reactions hasi hutokea Mara moja ila kurecover huwa tunakua wa mwisho.

Mh. Rais nilitegemea useme kwamba pamoja na vita inayoendelea inaweza kutuathiri lakini serikali yetu imejipanga kuhakikisha haituathiri saana na madhara yake"

tofauti na kauli yako ambayo ni sawa na umefungulia mbwa wabweke na kufanya watakavyo kwakua mfugaji wao umewaruhusu.

Tuonee huruma sisi watanzania wengi maskini, matajiri ni wachache saana.

Nawasilisha.
Kwahiyo ulitaka adanganye kama enzi za bwana yule
 
Hii kauli ya kusema anapotoshwa kwakweli inachosha sana kwani Rais yeye hana uwezo wa kufikiri au kuona? Hivi Rais hajui kuwa bei ya nondo,bati na mafuta ikoje toka mwaka jana?

Hivi Rais hajui kauli zake zina madhara gani? Yani Rais anasema wazi bidhaa zote zitapanda bei na maisha yatakuwa magumu halafu unasema amepotoshwa na mtu? Yeye hajui kufikiri?
 
Ile kauli hata kama hakuna mfumuko wa bei, wafanyabiashara wataitumia kama green light kupandisha bei.

Ni kama inachochea mfumuko wa bei.

Rais anatoka kuwa Samia mpaka kuwa Sazero sasa hivi.

Halafu utashangaa wataanza kuwasumbua wafanyabiashara na kuwapiga mikwara
 
Rais Samia ni muhimu ajitathimini kwa kauli zake hizo.....nchi zingine zinaweka mikakati ya kujipanga na hali ya kiuchumi inayoweza kujitokeza...yeye anawabariki wafanyabiashara wakubwa watumie fursa.

Sijui Mungu kwanini ulimchukua Magufuli mapema hivi bora ungetuchukua wananchi wote wa mkoa wa Mara umuache huyu MAGUFULI.

Ombwe LA uongozi liko wazi.
 
Back
Top Bottom