Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

Na hizo fedha zinazotolewa zitalipwa na vyanzo vipi vya mapato kama mdhamini mkuu wa hiyo mikopo?
Kiuhalisia hauwezi kulipa deni la nje, deni la nje litaendelea kuwepo miaka yote
 
Hizo Tsh. zinatoka wapi na wananchi wanalipa kodi kwa sarafu ipi?
Tsh ni pesa halali kwa matumizi ya NDAN YA NCHI, wewe kulipa kodi kwa TSH haiwezi kufanya manunuzi ya nje ya nchi
 
Kinachokupa nafasi ya kukopesheka ni nini?
swali zuri: ili uweze kukopesheka
1) kuna kiwango hautakiwi kuvuka cha kukopa, kwa lugha ya kimombo tunasema deni bado ni STAHIMILIVU
2) kila shirika lina sheria za mikopo, kwa mfano IMF, WORLD BANK wanatoa mikopo kwa vigezo vya muhimu mfano haki za binadam, demokrasia ni vitu kama hivo
3) Hauhitaji kua na colletral kukopesheka, cha muhimu utatumia dola ya kimarekan
 
Pitia vizuri tena ,masharti ya imf ili uweze kukopesheka.🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…