Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,119
- 12,929
Hiyo reserve inapatikanaje, Serikali inauza nini ili ipate hiyo reserveTuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Mkuu IMF,WB ili wakukopeshe Kuna vigezo muhimu navyo ni Amani na bidhaa/ rasilimali itakoyotumika kulipa deni kwa siku zijazo unaweza kuwa ni kiwanda, madini , ardhi etc.Hizo foreign currency za kulipa deni zinatoka wap?
Tz inapata fedha za kigeni kwa shughuli za utalii, kuuza madini ,coal gold etc, kuuza nafaka, kuuza bidhaa zingine za vyakula nje ya Nchi.Hiyo reserve inapatikanaje, Serikali inauza nini ili ipate hiyo reserve
Kwa hiyo sirikali imeuza nini nje ili kupata hizo dollar za V8?Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
UpumbavuTuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
kodi unaolipa sio useless ina kazi yake ndan ya nchi, however nje ya nchi it has little impactOk tumekusikia tutajitahidi kila tuwezalo tusilipe/tukwepe kodi TRA Tanzania
Mkuu, umejibu nini?pesa haina thamani kama unavoamini na wala sio tatizo kubwa kwa serikali kama unavodhan
Kwahiyo makusanyo ya utalii na mauzo ya dhahabu hayamuhusu mwanainch au siyo hapo nimetambua sasa kumbe ukiiuza dhahabu kama mwanainch kumbe kodi haikatwi ni Free free au siouko sahihi hivo ndo dola huletwa! HOWEVER point yetu apa ni wakati wa manunuzi kutoka nje, tuseme serikali inataka kununua v8 nje, basi itaenda moja kwa moja pale benki kuu ni kuomba kitu kinaitwa IOU maaana yake ni kwamba tunajua mna dola mmehifadhi tuazime tufanye manunuzi lakini tutarudisha tukishafanya makusanyo ya utalii ama mauzo ya dhahabu!
Wakopeshaji wanaangalia GDP (Utajiri ghafi wa nchi), uchumi na makusanyo yako ya kodi.Mkuu IMF,WB ili wakukopeshe Kuna vigezo muhimu navyo ni Amani na bidhaa/ rasilimali itakoyotumika kulipa deni kwa siku zijazo unaweza kuwa ni kiwanda, madini , ardhi etc.
Na ndio maana unakuta TZ ina deni kubwa kuliko akiba ya fedha za kigeni, lakini Bado WB, IMF watesema TZ inakopesheka , unajua ni Kwa nini ?
Ni bidhaa / rasilimali zimewekwa rehani , kulipia deni,
Kama TZ ingekuwa haina rasilimali na viwanda IMF WB wazingetukopesha hata kidogo.
hakuna nchii ambayo haina madeni, it will collapse yote
Unadhani haelewi haya!? Binafsi sidhani.Unavyosema kodi zetu hazihusiki kusingekuwa na umuhimu wa kukusanya Kodi.
Maximum ni kiasi gani?withdraw USD ni limited .