Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

sahihi kabisa however hata usingelipa hio kodi bado hio reserve ipogo tu, serikali haiihitaji tsh ili kubadilisha pesa, na benki za biashara hazifanyia manunuzi yoyote ya serikali na rate ya hio conversion inatoka serikalini
We jamaa ni kiazi asee!
 
SGR sio mradi wa ndani?
 
Sawa mkuu. Ila naomba ujue kuwa kizazi hiki kina elimu na akili. Kila mnachosema watu tuna uwezo wa kuchambua pumba na mchele, mwisho tunawachuliaga poa tu ila si kwamba tunakua hatujaelewa mlichosema au tunakua tumeelewa kwa mlengo mlioukusudia.
 
Una akili sana, wafundishe polepole huwenda wakakuelewa
 
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Kwahyo serikali inauza nini huko nje??
 
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Kum@ LA mamako
 
Kwahyo hayo matumizi yanatumia kodi za nchi gani?
 
Hapa mkuu uliongea ukiwa umelewa Au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…