Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

Watu kama wewe ndo mnafanya serikali idharauliwe. Hizo USD zinazotumika huwa zinatoka mawinguni bila kuhusisha kodi zinazolipwa na watanzania? Ni sawa na mtu uende China kununua mzigo useme sijatumia shilingi yangu yoyote nimelipa kwa Yuan.
 
Unalipa kodi kwa TShs ambazo ndiyo zinanunua dollars, kuna wengine huko TZ tuna accounts za dollars je hazitumiki inakuwa kama ume-deposit gold?
Don't act stupid.
serikali haifanyi conversion, exchange rate ni kwa ajili ya mwananchi. mmoja mmoja
 
ushawahi kujiuliza kwann dola moja ni 2500?
 
Watu kama wewe ndo mnafanya serikali idharauliwe. Hizo USD zinazotumika huwa zinatoka mawinguni bila kuhusisha kodi zinazolipwa na watanzania? Ni sawa na mtu uende China kununua mzigo useme sijatumia shilingi yangu yoyote nimelipa kwa Yuan.
Dah me nkajua mpo pamoja Lumumba ndo mmekuja na hii....Au wewe Leo you are working from home?
 
Sehemu ya hiyo akiba ni kodi za wananchi , zilizobadilishwa kama fedha za kigeni pia.
 
πŸ˜‚ matumizi ya ndan ama ya nje
 
serikali haifanyi conversion, exchange rate ni kwa ajili ya mwananchi. mmoja mmoja
Don't bring your pathetic bullshit, where to they get the foreign currencies? Is it that the foreign currencies just drop like manna from heaven?
 
Mleta uzi unauelewa na ulichokiandika au umekurupuka tu.
Ficha ujinga wako kwakuto tolea ufafanuzi jambo usilolifahamu.
 
Sehemu ya hiyo akiba ni kodi za wananchi , zilizobadilishwa kama fedha za kigeni pia.
serikali haifanyi conversion ya dola kwenda tsh wala vice versa! hio rate ni kwa ajili ya wananchi
 
Mleta post Yuko sahihi kabisa.

Kuna elimu ya kukariri madesa na elimu ya kuendesha Dunia.
 
Unalipa kodi kwa TShs ambazo ndiyo zinanunua dollars, kuna wengine huko TZ tuna accounts za dollars je hazitumiki inakuwa kama ume-deposit gold?
Don't act stupid.
unanunua dola kutoka kwa nan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…