Magufuli mwenyewe alikuwa anategemea wizi wa kura, sasa sijui ni kura zipi hizo za Ngosha.Luhaga Joelson Mpina akimtimua CCM chadema anapata mgombea takayebwaingizia kura nyingi sana Kwa kutumia jina la magufuli. Kula za ngosha atazibeba
Mkuu anzisha chama uchukue nchi. Sisi wapiga kura wengi tunaojitambua hatuna muda tena wa kupoteza kujitokeza kwenye hizi chaguzi za kishenzi. Ila kwakuwa huko vijijini bado wanaimani na hayo maigizo yaitwayo uchaguzi, changamkia hiyo fursa kwa kuanzisha chama ubebe nchi.Katika harakati za maisha mwaka jana nilizunguka baadhi ya vijiji kadhaa. Nilishangaa sana kusikia wanavijiji wa ndani ndani huko wakionyesha chuki za wazi kabisa kwa Rais Samia.
Wengi wa Watanzania hawampendi kabisa na mbaya zaidi Wanawake wenzake ndio kabisaa hawataki kumsikia.
Tatizo la upinzani wa Tanzania hawako makini. Mpaka sasa hakuna "mpinzani" anayeweza kuitikisa nchi kama alivyofanya marehemu L Mrema au E Lowasa.
Ikiwa mmoja kati ya WanaCCM atajitoa CCM na kugombea Urais kwa tiketi ya upinzani nina hakika atashinda.
Mtu kama William Lukuvi bado yupo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi. Akizicheza karata zake vizuri anaweza kuwa Rais wa awamu ya saba kwa tiketi ya upinzani.
Kwa tume ipi atashindwa?Kwahiyo unaishauri CCM Kuna na mgombea mwingine kabisa?
Tuache masihara kama taarifa zinasema 2020 Hayati Dr Magufuli hakushinda Dr Samia atawezaje?Habari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.
NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.
Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.
Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.
Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.
Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.
Acha nipumzike sasa
Weka tume huruMama , amepewa nchi ikiwa katika kipindi kigumu sana .
Pia upinzani hawana uwezo wa kuitoa Ccm
This Time ni Mungu mwenyewe ataingilia Kati.Kwa tume ipi atashindwa?
Hilo lipo wazi lakini ukija kwenye NEC fake tayari ni mshindiKwenye Boksi la kura hatoboi
Waambie kina Makonda au Mpina waanzishe chama chao wabebe nchi. Urais unahitaji energy gani boss, au ukiww rais ubabeba matofali nini?Ila kupunguza zereuuu za CCM inabidi kweli apite mpinzani 2025,Heshima itarudi hata wakija kuchukua nchi.Angalizo,Mbowe hatumtaki,Lisu atulie tunajua nimtu smart lakini Energy ya kazi kubwa kama Urais hataweza.Wamchukue Makonda au Mpina au yeyote hakika nchi wanabeba.
Hakuna cha MUNGU wala ni nini lazima twende kwenye uhalisiaThis Time ni Mungu mwenyewe ataingilia Kati.
Mama hawezi kutoboa hata Achinje Bata MwekunduHilo lipo wazi lakini ukija kwenye NEC fake tayari ni mshindi
Urais ni mfumo pekeeWaambie kina Makonda au Mpina waanzishe chama chao wabebe nchi. Urais unahitaji energy gani boss, au ukiww rais ubabeba matofali nini?
Upinzani wa akina Mbowe au unazungumzia Gen z wa Kenya?😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️Habari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.
NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.
Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.
Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.
Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.
Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.
Acha nipumzike sasa
Kwa hii tume fake ni mshindi tayariMama hawezi kutoboa hata Achinje Bata Mwekundu
Aione Tlantal, lucas na voice variable.Katika harakati za maisha mwaka jana nilizunguka baadhi ya vijiji kadhaa. Nilishangaa sana kusikia wanavijiji wa ndani ndani huko wakionyesha chuki za wazi kabisa kwa Rais Samia.
Wengi wa Watanzania hawampendi kabisa na mbaya zaidi Wanawake wenzake ndio kabisaa hawataki kumsikia.
Tatizo la upinzani wa Tanzania hawako makini. Mpaka sasa hakuna "mpinzani" anayeweza kuitikisa nchi kama alivyofanya marehemu L Mrema au E Lowasa.
Ikiwa mmoja kati ya WanaCCM atajitoa CCM na kugombea Urais kwa tiketi ya upinzani nina hakika atashinda.
Mtu kama William Lukuvi bado yupo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi. Akizicheza karata zake vizuri anaweza kuwa Rais wa awamu ya saba kwa tiketi ya upinzani.
Hahahaha ....Ndoto hiziUpinzani wa akina Mbowe au unazungumzia Gen z wa Kenya?😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️
2025 mama anaramba 90% ya kura. Nchi hii hhaijawahi kupata wapigakura wanaojitambua.
CCM waajabu sana, et Diwani darasa la 7 ananikolomea mi Doctor wa Binadamu mwenye Degree. Nilimwambia chezea wenginee.
kwa uandishi huo sidhani kama una degree.CCM waajabu sana, et Diwani darasa la 7 ananikolomea mi Doctor wa Binadamu mwenye Degree. Nilimwambia chezea wenginee.
Hizi degree mnazogawana Kama Karanga ni za kutamba nazo kweli?kwa uandishi huo sidhani kama una degree.