Pre GE2025 Kiukweli 2025 simuoni Rais Samia akishinda kwenye Boksi la kura kama upinzani wakiweka mtu mahiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata wakiweka jiwe, litashinda....
 
Upinzani wa akina Mbowe au unazungumzia Gen z wa Kenya?😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️

2025 mama anaramba 90% ya kura. Nchi hii hhaijawahi kupata wapigakura wanaojitambua.
Ni kweli atapata 90% ya mazombie watakaojitokeza kupiga kura kwenye huo uchaguzi wa maigizo, lakini kwenye uchaguzi serious hawezi kupata hiyo figure.
 
Mbona mama yako hajabebwa na dola?
 
Ni kweli atapata 90% ya mazombie watakaojitokeza kupiga kura kwenye huo uchaguzi wa maigizo, lakini kwenye uchaguzi serious hawezi kupata hiyo figure.
Ndio maana CCM wanajenga taifa la mazombie. Ili wapate kula za mazombi wanatengeneza na upinzani wa mazombi. 😂️😂️😂️😂️
 
A big no
 
Penda wasipende! Kataa goma susa Rais wa JMT ni Tundu Antiphas Lissu. Hata arembue mimacho na kuyatuma majini ya kizmkz hakuna namna!
 
Toa hilo ligaraza bashite hata kama amekulevya kwasasa nchi hii Lisu hana mpinzani
 
Kwahiyo wewe una amini kuwa mshindi huwa anapatikana kwenye yale ma boksi?
 
Mkuu una haki ya kutoa maoni yako. Kwa upande wangu na utafiti mdogo usiokuwa rasmi niliofanya nimegundua Tundu Lissu hakubaliki kama anavyokubalika William Lukuvi.

Lakini kila mtu yuko huru kutoa maoni yake.

Sababu za Watanzania kumkataa Lissu ni pamoja na mafungamano aliyonayo na wazungu ambao wanaunga mkono sera za mashoga.
 
Mimi sio mwanasiasa bali ni mfuatiliaji tu wa mambo yanayotokea hapa nchini kwenye kila nyanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…