Kiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa yao ilifungwa Congo.
Akiongea na channel maarufu ya mambo ya umbea Mai Tv afunguka mengi Alisema alivyopata offer ya kwenda kucheza Libya akamuacha mkewe bongo akawa anamtumia hela za ujenzi mpaka nyumba ikawa imemalizika ambapo hiyo nyumba ipo Mbezi Kimara.Alivyorudi bongo akaambiwa sio nyumba yake Tena ipo chini ya umiliki wa mkewe huyo sio nyumba yake na kibaya zaidi akagundua huyo mkewe alikuwa pia ana mwanaume hapa bongo.
NB: Bado yule Aziz Ki tumpe muda badala ya kuoa mke mnaoa maslay Queens mpo busy kuangalia sura na shape badala ya tabia