OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA📌
Kama mwanamke hakupendi basi tambua kuna mwingine anayempenda ambaye SIYO WEWE.
Hata UMUHONGE DUNIA huwezi kumfanya abadili HISIA ZAKE.
UKIMUHONGA SANA atachuma PESS kutoka kwako atahamisha kumpelekea KUMPA BUREE ampendaye.TENA atakuwa ANAKUOMBA HELA mara kwa mara HANA huruma na wewe hata ukisema HUNA hakuelewi.Na hana bajeti hana huruma na wewe.
Kama mwanamke hakupendi ni hakupendi tu hata kama hujamkosea akikuona tu hakupendi huwezi kumbadilisha
mwanamke ,akipenda anapenda kweli.(HUNA HAJA YA KUMUHONGA yeye atakuhitaji wewe zaidi kuliko ya pesa zako na anaweza hata kukupa wewe pesa zake ,na anakuwa anakuhurimia hataki UTUMIE HELA HOVYO hapendi UTOE TOE PESA ovyo,anakuwa na bajeti,hata ukimpa hela anaweza akakataa)