Kiungo wa zamani wa Yanga Tonnombe Mukoko atapeliwa nyumba na mwanamke wa kibongo

Sijui kwanini wacheza mpira wengi wanakuaga na ulimbukeni wa wanawake. Wanapigwa kirahisi sana. Huyo Aziz Ki ni suala la muda tu.
Kama Azizi Ki kamuacha mwanamke wa maana aliyezaa nae ambaye ni mpambanaji kakimbia kwa Socialite Hamisa Mobetto juzi tu kuonekana kwenye show ya Marioo Usiku anakatika viuono huku anatunzwa
 
Kwa mchezaji kutoka nje alitakiwa ajue kua hana haki ya kumiliki ardhi so alitakiwa kujua kama anajenga hiyo nyumba kama zawadi ama vipi kwasababu ya complications za swala kama hilo kwa status yake ya ugeni. Huyo mwanamke hajafanya iyo kitu kwa bahati mbaya it is a well planned deal. Mimi ni shabiki wa Yanga hata alivyoondoka Yanga sikuwahi kujua ilikuaje but nilikua naona anampost sana uyo Dada nikajua katoka nae kwao huko Congo leo ndo najua uyo Dada kumbe alikua mTz. Iyo pisi ni maji marefu sana kwa Mukoko ilitakiwa kukutana na mtu kama Pacome,...na imeona jamaa soka la kumpa hela ya maana halipo tena kaamua kuchimba kwa style iyo. Kama wana mtoto/ watoto nae na ana uhakika ni wake kweli sio kesi iyo nyumba asamehe kama faida ya Dogo maana mwanae atalelewa na kukulia humo. On the flip side kwenye hilo kundi lao waliokuja kwa kufuatana mtu smart alikua Mayele tu. Jamaa alikuja na familia yake nadhani alikua na watoto wawili ama watatu afu alikua mtu wa kanisani sana. Issue ni moja tu either uwe muhuni sana na mjanja mjanja kama kina Pacome, unapiga show unapita hivi hakuna shobo za kugandana sijui ndoa sijui nini. Otherwise uwe mtulivu Church boy kama Max Nzegeli izo mambo za mademu uachane nazo kabsa au uje na Mkeo toka huko kwenu. Sasa yule Mkoko, Kisinda na Moloko yani kwa kuwaangalia tu walikua na mwonekano wa kiruga ruga sana so uyo mmoja wao kupigwa tukio wala sio kitu cha ajabu. Sema kwa Dada yetu nae ajiandae tu kupigwa kipapai otherwise awe amejipanga na yeye na matokeo. Otherwise kwetu sisi wanaume tunaendelea kupewa mafunzo yenye mifano ya wazi kabsa. Sasa kama jamaa kapigwa tukio na mke wa ndoa wewe unapata wapi ujasiri wa kusomesha mchumba ama kuwekeza kwa demu?
Azizi Ki nae kaoa slay Queen tabu tupu kaacha mama watoto wake ambaye ni mpambanaji kaingia huku cha kike ni suala la muda kitampata kitu kizito
 
Kama Azizi Ki kamuacha mwanamke wa maana aliyezaa nae ambaye ni mpambanaji kakimbia kwa Socialite Hamisa Mobetto juzi tu kuonekana kwenye show ya Marioo Usiku anakatika viuono huku anatunzwa
Aziz Ki ni mshamba na kama hajasajiri mali zake kwa majina ya mama ake. Atakuja kulia kilio kibaya sana. Na hawa watoto wa mjini wakina jonas mkude walishindwa kumsanua mwenzao.!
 
Kwa mchezaji kutoka nje alitakiwa ajue kua hana haki ya kumiliki ardhi so alitakiwa kujua kama anajenga hiyo nyumba kama zawadi ama vipi kwasababu ya complications za swala kama hilo kwa status yake ya ugeni. Huyo mwanamke hajafanya iyo kitu kwa bahati mbaya it is a well planned deal. Mimi ni shabiki wa Yanga hata alivyoondoka Yanga sikuwahi kujua ilikuaje but nilikua naona anampost sana uyo Dada nikajua katoka nae kwao huko Congo leo ndo najua uyo Dada kumbe alikua mTz. Iyo pisi ni maji marefu sana kwa Mukoko ilitakiwa kukutana na mtu kama Pacome,...na imeona jamaa soka la kumpa hela ya maana halipo tena kaamua kuchimba kwa style iyo. Kama wana mtoto/ watoto nae na ana uhakika ni wake kweli sio kesi iyo nyumba asamehe kama faida ya Dogo maana mwanae atalelewa na kukulia humo. On the flip side kwenye hilo kundi lao waliokuja kwa kufuatana mtu smart alikua Mayele tu. Jamaa alikuja na familia yake nadhani alikua na watoto wawili ama watatu afu alikua mtu wa kanisani sana. Issue ni moja tu either uwe muhuni sana na mjanja mjanja kama kina Pacome, unapiga show unapita hivi hakuna shobo za kugandana sijui ndoa sijui nini. Otherwise uwe mtulivu Church boy kama Max Nzegeli izo mambo za mademu uachane nazo kabsa au uje na Mkeo toka huko kwenu. Sasa yule Mkoko, Kisinda na Moloko yani kwa kuwaangalia tu walikua na mwonekano wa kiruga ruga sana so uyo mmoja wao kupigwa tukio wala sio kitu cha ajabu. Sema kwa Dada yetu nae ajiandae tu kupigwa kipapai otherwise awe amejipanga na yeye na matokeo. Otherwise kwetu sisi wanaume tunaendelea kupewa mafunzo yenye mifano ya wazi kabsa. Sasa kama jamaa kapigwa tukio na mke wa ndoa wewe unapata wapi ujasiri wa kusomesha mchumba ama kuwekeza kwa demu?
Hawa wacheza mpira nafikiri pia wengi hawajaenda shule. Nje ya mpira hakuna kingine wanachojua ndio maana wanapigwa kirahisi sana.
 
Kiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa yao ilifungwa Congo.

Akiongea na channel maarufu ya mambo ya umbea Mai Tv afunguka mengi Alisema alivyopata offer ya kwenda kucheza Libya akamuacha mkewe bongo akawa anamtumia hela za ujenzi mpaka nyumba ikawa imemalizika ambapo hiyo nyumba ipo Mbezi Kimara.Alivyorudi bongo akaambiwa sio nyumba yake Tena ipo chini ya umiliki wa mkewe huyo sio nyumba yake na kibaya zaidi akagundua huyo mkewe alikuwa pia ana mwanaume hapa bongo.

NB: Bado yule Aziz Ki tumpe muda badala ya kuoa mke mnaoa maslay Queens mpo busy kuangalia sura na shape badala ya tabia
Kwani Mukoko ni Mtanzania? Raia wa kigeni anaruhusiwa kumiliki ardhi Tanzania? Je, ingewezekana hati kuandikwa jina la Mukoko? Maana yake Mukoko alitakiwa avijue hivi vitu vya umiliki wa ardhi kabla hajaanza kutuma pesa za ujenzi!
 
Niyonzima miaka yote aliyocheza mpira Tanzania,alikuja na mkewe toka kwao,jamaa mjanja sana
 
Hawa wacheza mpira nafikiri pia wengi hawajaenda shule. Nje ya mpira hakuna kingine wanachojua ndio maana wanapigwa kirahisi sana.
Kabsa aiseeh yani mke umemwoa wewe badala uishi nae kwenu ndo ujenge na kufanya maendeleo huko wewe unamtumia hela yeye afu ujenzi anasimamia Mama mkwe? Jamaa kanisikitisha sana. Afu kesi kapeleka kwa Maimartha. Swala la kisheria linamalizwa kisheria kwenye vyombo vya kisheria. Hawa jamaa si wana wasimamizi wao/ wanasheria.?
 
Kwani Mukoko ni Mtanzania? Raia wa kigeni anaruhusiwa kumiliki ardhi Tanzania? Je, ingewezekana hati kuandikwa jina la Mukoko? Maana yake Mukoko alitakiwa avijue hivi vitu vya umiliki wa ardhi kabla hajaanza kutuma pesa za ujenzi!
Kiubinadamu nyumba ni ya kwake pia maana aliingia gharama zote za ujenzi. Lakini kisheria ndio nyumba sio yake. Kitendo cha kuambiwa wazi wazi nyumba sio yake ni dhairi kafanyiwa utapeli.

Yote kwa yote, kuna haja ya hawa wacheza mpira weusi kuwa na management na washauri binafsi. Maana ni trend wao kutapeliwa na wanawake hata uko ulaya.
 
Kiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa yao ilifungwa Congo.

Akiongea na channel maarufu ya mambo ya umbea Mai Tv afunguka mengi Alisema alivyopata offer ya kwenda kucheza Libya akamuacha mkewe bongo akawa anamtumia hela za ujenzi mpaka nyumba ikawa imemalizika ambapo hiyo nyumba ipo Mbezi Kimara.Alivyorudi bongo akaambiwa sio nyumba yake Tena ipo chini ya umiliki wa mkewe huyo sio nyumba yake na kibaya zaidi akagundua huyo mkewe alikuwa pia ana mwanaume hapa bongo.

NB: Bado yule Aziz Ki tumpe muda badala ya kuoa mke mnaoa maslay Queens mpo busy kuangalia sura na shape badala ya tabia
Kikck
 
Kabsa aiseeh yani mke umemwoa wewe badala uishi nae kwenu ndo ujenge na kufanya maendeleo huko wewe unamtumia hela yeye afu ujenzi anasimamia Mama mkwe? Jamaa kanisikitisha sana. Afu kesi kapeleka kwa Maimartha. Swala la kisheria linamalizwa kisheria kwenye vyombo vya kisheria. Hawa jamaa si wana wasimamizi wao/ wanasheria.?
Halafu mke kisu yule, bila shaka atakua slay queen. Nilikua naona sana anampost. Nikajua ni mwanamke wa uko uko Congo. Ndio najua leo kwamba ni mbongo mwenzetu.

Wacheza mpira hawana elimu hawa ndio maana wanapigwa kirahisi. Yule mtangazaji sebo aliekufa juzi juzi hapo. Kaja bongo bado mwanafunzi tu. Kapata maisha, katuchapia dada zetu, kala bata, kafia hapa hapa bongo na hajaacha hata rimoti ya tv. Maendeleo kafanya kwao uko uganda
 
Kama Azizi Ki kamuacha mwanamke wa maana aliyezaa nae ambaye ni mpambanaji kakimbia kwa Socialite Hamisa Mobetto juzi tu kuonekana kwenye show ya Marioo Usiku anakatika viuono huku anatunzwa
Umenikumbusha na Yacouba Sogne nae ameoa Tz. Mimi wasiwasi wangu ni aina ya wanawake wanaoawaoa, ukiwaangalia sio zile sampuli Wife Material ni zile slay queens next level sasa sijui jamaa wanapagawa na uzuri? Sema wachezaji wa mataifa mengine wanakuja wanacheza na kuondoka. Ila Congo hadi hua nawaza hawa jamaa vipi? Mchezaji hana timu Tz ila siku zote wapo Dar. Leo ndo naelewa kua kumbe wengine wana familia aiseeh 😅
 
Morrison nae kila siku yupo mjini.
 
Back
Top Bottom