Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,179
- 2,948
Sema hii kichwa kutapeliwa pagumu hapo..sana sana labda yeye ndo ageuke Tapeli😀😀Morrison nae kila siku yupo mjini.
Sema hii kichwa kutapeliwa pagumu hapo..sana sana labda yeye ndo ageuke Tapeli😀😀Morrison nae kila siku yupo mjini.
Ndio Madhara hayo sasa kwanini hajajenga ni ujinga wakeMbona fani zingine hatusikii wakipatwa na hii mikasa? Marehemu sebo alikua kitombile balaa na mpaka anakufa hajajenga chochote hapa Tanzania.
Amejenga kwao Uganda. Hapa bongo sheria hairuhusu mgeni kumiliki ardhi. Huyo Tonombe angekua amesoma angeweza kujua sheria haimruhusu kumiliki ardhi kwahiyo akijenga ni kama anatoa zawadi tu. Chama yupo bongo miaka kibao lakini hana hata kiwanja. Usifikiri ni mjingaNdio Madhara hayo sasa kwanini hajajenga ni ujinga wake
Hapo sawaAmejenga kwao Uganda. Hapa bongo sheria hairuhusu mgeni kumiliki ardhi. Huyo Tonombe angekua amesoma angeweza kujua sheria haimruhusu kumiliki ardhi kwahiyo akijenga ni kama anatoa zawadi tu. Chama yupo bongo miaka kibao lakini hana hata kiwanja. Usifikiri ni mjinga
Bado wewe kulizwa! ☺
😂😂😂 Hauna huo ubavuBado wewe kulizwa! ☺
Nilize basi, mpaka akili inikae sawa...Bado wewe kulizwa! ☺
You know me very well!!! HahahNilize basi, mpaka akili inikae sawa...
Hata message za WhatsApp au text zinaweza kutumika kama ushahidi wa contractMatawi ya juu contract za fundi wetu hawa kina fundi maiko? Na ushahidi wa mawasiliano kwa fundi unakuaje?
Kiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa yao ilifungwa Congo.
Akiongea na channel maarufu ya mambo ya umbea Mai Tv afunguka mengi Alisema alivyopata offer ya kwenda kucheza Libya akamuacha mkewe bongo akawa anamtumia hela za ujenzi mpaka nyumba ikawa imemalizika ambapo hiyo nyumba ipo Mbezi Kimara.Alivyorudi bongo akaambiwa sio nyumba yake Tena ipo chini ya umiliki wa mkewe huyo sio nyumba yake na kibaya zaidi akagundua huyo mkewe alikuwa pia ana mwanaume hapa bongo.
NB: Bado yule Aziz Ki tumpe muda badala ya kuoa mke mnaoa maslay Queens mpo busy kuangalia sura na shape badala ya tabia