mke wa aziz ki sio mwizi,kwanza ana pesa na kipato kikubwa kuliko aziz kKiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa yao ilifungwa Congo.
Akiongea na channel maarufu ya mambo ya umbea Mai Tv afunguka mengi Alisema alivyopata offer ya kwenda kucheza Libya akamuacha mkewe bongo akawa anamtumia hela za ujenzi mpaka nyumba ikawa imemalizika ambapo hiyo nyumba ipo Mbezi Kimara.Alivyorudi bongo akaambiwa sio nyumba yake Tena ipo chini ya umiliki wa mkewe huyo sio nyumba yake na kibaya zaidi akagundua huyo mkewe alikuwa pia ana mwanaume hapa bongo.
NB: Bado yule Aziz Ki tumpe muda badala ya kuoa mke mnaoa maslay Queens mpo busy kuangalia sura na shape badala ya tabia
Na boxer no 7up
Akienda mahakamani atashinda maana ataonesha ushahidi wa nyaraka za ndoa na zile alizokuwa anatumia kumtumia pesaHapa haki za binadamu sijui jinsia woote kimya, hakuna wa kumpigania jamaa haki yake, jamaa akijichukulia sheria mkononi wanakuja mbio na ukatili wa jinsia.
Huyu kama baba revo 🎚️
Mwana Utopwinyo mwenzio unamkataa?..fanya jambo itisha Harambee mido kisheti ipate kibanda kingine.Wengi hapa tutampa pole tu. Uwezo wa kumsaidia hatuna.
Yes, ila anaweza kushinda au la. Mambo ni mengi mkuu. Unakuta hata risiti au slips hakutunza.Akienda mahakamani atashinda maana ataonesha ushahidi wa nyaraka za ndoa na zile alizokuwa anatumua kumtumia pesa
alioa kwa haraka bila mahusiano kwanza shida ilianzia hapaSafi , mashamba ya mbususu acha yapasuke kmmmke
Mkuu, ni ushamba tu, kuna watu wakiona chuma kali na ana vichenji vyake anatetemekaalioa kwa haraka bila mahusiano kwanza shida ilianzia hapa
Usenge mtupu ila kwa mtoto wa kiuhuni hili haliishi mpaka liishe. Ata ivyo uyo tonombe ni mkongo sio rahisi kiivo kuliacha lipite uyo demu anaweza jikuta anarudisha hiyo nyumba mwenyewe.Hapa haki za binadamu sijui jinsia woote kimya, hakuna wa kumpigania jamaa haki yake, jamaa akijichukulia sheria mkononi wanakuja mbio na ukatili wa jinsia.