Kiungo wa zamani wa Yanga Tonnombe Mukoko atapeliwa nyumba na mwanamke wa kibongo

Umemaliza kila kitu, ila cha kushangaza kuna mtu atasoma hapa naatapigwa tena Mawardat
 
Kutuma pesa toka nje kisha akose ushahidi wa miamala itakuwa kichekesho.
Sheria ina vichekesho mkuu. Usicheke ukiambiwa ili muhamala utumike katika ushahidi unapaswa kuwa na sifa A, B, C halafu unakuta mihamala yako inapungukiwa hizo sifa.

Halafu pia inategemea mwizi wako alijipanga vipi kukuibia. Unakuta tangu day 1 mwenzako alishachora mchoro kuwa utamjengea nyumba wakati wewe huna hayo mawazo.
 
Na wewe kukaa Kwako kote huko hapa Dar unaita Mbezi Kimara?
 
 
Hivi vitu huzalisha simulizi za kutisha.
Utasikia Ile nyumba mwenyewe aliuwawa na majambazi au aliuwawa na aliyekuwa mumewe.
 
Kwa mchezaji kutoka nje alitakiwa ajue kua hana haki ya kumiliki ardhi so alitakiwa kujua kama anajenga hiyo nyumba kama zawadi ama vipi kwasababu ya complications za swala kama hilo kwa status yake ya ugeni. Huyo mwanamke hajafanya iyo kitu kwa bahati mbaya it is a well planned deal. Mimi ni shabiki wa Yanga hata alivyoondoka Yanga sikuwahi kujua ilikuaje but nilikua naona anampost sana uyo Dada nikajua katoka nae kwao huko Congo leo ndo najua uyo Dada kumbe alikua mTz. Iyo pisi ni maji marefu sana kwa Mukoko ilitakiwa kukutana na mtu kama Pacome,...na imeona jamaa soka la kumpa hela ya maana halipo tena kaamua kuchimba kwa style iyo. Kama wana mtoto/ watoto nae na ana uhakika ni wake kweli sio kesi iyo nyumba asamehe kama faida ya Dogo maana mwanae atalelewa na kukulia humo. On the flip side kwenye hilo kundi lao waliokuja kwa kufuatana mtu smart alikua Mayele tu. Jamaa alikuja na familia yake nadhani alikua na watoto wawili ama watatu afu alikua mtu wa kanisani sana. Issue ni moja tu either uwe muhuni sana na mjanja mjanja kama kina Pacome, unapiga show unapita hivi hakuna shobo za kugandana sijui ndoa sijui nini. Otherwise uwe mtulivu Church boy kama Max Nzegeli izo mambo za mademu uachane nazo kabsa au uje na Mkeo toka huko kwenu. Sasa yule Mkoko, Kisinda na Moloko yani kwa kuwaangalia tu walikua na mwonekano wa kiruga ruga sana so uyo mmoja wao kupigwa tukio wala sio kitu cha ajabu. Sema kwa Dada yetu nae ajiandae tu kupigwa kipapai otherwise awe amejipanga na yeye na matokeo. Otherwise kwetu sisi wanaume tunaendelea kupewa mafunzo yenye mifano ya wazi kabsa. Sasa kama jamaa kapigwa tukio na mke wa ndoa wewe unapata wapi ujasiri wa kusomesha mchumba ama kuwekeza kwa demu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…