Kiungo wa zamani wa Yanga Tonnombe Mukoko atapeliwa nyumba na mwanamke wa kibongo

Ndio Madhara hayo sasa kwanini hajajenga ni ujinga wake
Amejenga kwao Uganda. Hapa bongo sheria hairuhusu mgeni kumiliki ardhi. Huyo Tonombe angekua amesoma angeweza kujua sheria haimruhusu kumiliki ardhi kwahiyo akijenga ni kama anatoa zawadi tu. Chama yupo bongo miaka kibao lakini hana hata kiwanja. Usifikiri ni mjinga
 

Hilo tumbo!!!
 
Mgeni anaruhusiwa kumiliki ardhi isiyo ya uwekezaji Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…