Kiwango cha uelewa kwa viongozi wetu kiko chini sana

Kwa mantiki ipi mkuu wangu?
Yaani kwa mfano mimi kujiona nina akili na hakuna jambo lenye tija ninalofanya la kuweza kubadilisha status quo ya taifa langu, hizo akili zitakuwa na msaada gani kwa jamii yangu?
 
Yaani kwa mfano mimi kujiona nina akili na hakuna jambo lenye tija ninalofanya la kuweza kubadilisha status quo ya taifa langu, hizo akili zitakuwa na msaada gani kwa jamii yangu?
Sasa mwenye hasara sio mwenye akili, bali taifa boss.
 
Sasa mwenye hasara sio mwenye akili, bali taifa boss.
Kama siwezi kutumia akili ninazohisi ninazo kuchochea mabadiliko basi mimi na hao wanaofanya mambo ya kijinga hatuna tofauti, wote ni wapambanaji wa maslahi binafsi tu.
 
Kama siwezi kutumia akili ninazohisi ninazo kuchochea mabadiliko basi mimi na hao wanaofanya mambo ya kijinga hatuna tofauti, wote ni wapambanaji wa maslahi binafsi tu.
Wenye akili hawapewi nafasi huko kwenye ngazi za maamuzi, na hawana haja ya kujibembelezeshea ili akili zao zitumike.
 
Yaani kwa mfano mimi kujiona nina akili na hakuna jambo lenye tija ninalofanya la kuweza kubadilisha status quo ya taifa langu, hizo akili zitakuwa na msaada gani kwa jamii yangu?
Mtu kushindwa kuona potential ya akili kitaifa ni janga .
Taifa kama Japan, hawana mafuta. hawana makaa ya mawe, hawana chuma wala hawana rare metals.
Akili ndiyo inawaweka dunia na kutengeneza Toyota Land Cruisers ambazo sisi tusio na akili tunazipata.
Japan kwa kutumia akili na kuitumia kama resource imeweza kupambana na vikwazo vingi kimazingira na kimaisha.
Sisi tunfikiri PhD ni za kuringishiana tu!
 
Hapa ndipo tatizo linapoanzia. Kama mtu anamwona Magufuli kuwa alikuwa kiongozi mwenye upeo unadhani ataweza kuchagua kiongozi mzuri hata uchaguzi ungekuwa huru? Mwanzisha thread kaanzisha hoja ambayo ndiyo chanzo cha vurugu zote zinazotokea leo. Nyerere alikuwa ni kiongozi mwenye maono, idiology na aliyekuwa anajua dunia inakoenda. Mwinyi hakuwa msomi lakini alikuwa down to the earth na alikuwa anajua uwezo wake, hivyo alikuwa anakubali ushauri. Mkapa naye alikuwa na kiongozi mwenye maono japo kiburi na jeuri vilimharibia. Tulipotoka tulipokubali Mkwere kuingia na kundi ake la vilaza. Huyu ndiye aliyeanza kupeleka graph ya uongozi wenye maono chini. Jidu La Mabambasi unaweza kuwa na rais asiye na maono, lakini kama anakubali kuzungukwa na wataalam wa kweli akafanya vizuri. la tatizo la sasa ni kuwa wengi wa waliomzunguka rais na yeye ni vilaza.
 
A major difference between human beings and animals:

"Animals will never allow the dumbest member of their group to lead them"

Tanganyikans are worse than animals...
​
It’s all over the world

Our leaders are a true reflection of ourselves… if you are smart , why are not up there?
 
Kujipachika kwa mtutu sio hoja, kama kuna watu werevu wengi wangeweza kuwa na mkakati bora wa kuweza kuwa outsmart hao wenye mitutu.
Wenye mitutu wameweka mizizi mirefu, tulichelewa kuwabaini mda sana tunashtuka pamoja na ujinga wao ila waliona mbali.

Nakubaliana na wewe kuwa, huwezi kupata viongozi werevu kwenye kundi la wajinga. Hawa tuliaonao ni taswira kubwa ya jinsi tulivyo. Ila kwa maza hapana, she's too much mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…