Duuh Maternal deathsNusu ya laki moja ni mia tano.
Kwanini msitumie hizo akili mlizo nazo kuondoa hiyo corrupted system? Au "vilaza" wamewazidi tena akili?Nani agombee kwenye corrupted system? Anybody mwenye smart kichwani knows no way atatoboa kwa mfumo uliopo
Umekuwa designed kubeba low Iq people , chawa, na umaarufu kuliko kuchukua watu kwa performance na high IQ zao
Mfumo hautakil smart people , ni known fact
Mbuyu huanza kama mchicha..Kwanini msitumie hizo akili mlizo nazo kuondoa hiyo corrupted system? Au "vilaza" wamewazidi tena akili?
Mbona unajitoa ufahamu, na were ni kiongozi?Kwanini msitumie hizo akili mlizo nazo kuondoa hiyo corrupted system? Au "vilaza" wamewazidi tena akili?
Kujipachika kwa mtutu sio hoja, kama kuna watu werevu wengi wangeweza kuwa na mkakati bora wa kuweza kuwa outsmart hao wenye mitutu.
Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni.
Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida.
Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma wote, watu hao waliondoka na hawapo kabisa.
Uelewa kwa maana ya vichwa vilivyojaa data zinazoweza kutumika kwa manufaa ya nchi , umekuwa adimu kwa viongozi wetu. Ni mshangao kukuta kuna viongozi hawajui hata zile basics za sayansi ya jamii na matamanio ya wananchi.
Tumebaki na viongozi wanasiasa wanao endeleza survival politics, watu wa kujineemesha.
Watu kama hawa wanasiasa wa sasa wapo zaidi kujitetea na kutumia dola kuhakikisha maslahi binafsi ya utawala unalindwa kwa gharama yoyote.
Nini maoni yako?
Nyie mnaoponda viongozi kama mna akili kwanini hamkugombea hizo nafasi ili muongoze?
[emoji23][emoji23][emoji23]Chanzo cha haya yote ni elimu ya kuunga unga. Mtu miaka michache iliyopita alipata 0 kwenye masomo yake! Halafu miaka kadhaa mbele, unasikia anaitwa Daktari!
Itafika hatua tu wote tutaimba lugha moja. Leo kuna rafiki angu ni branch manager kaniambia maisha yamekua magumu sana. Nikajiuliza huyu ni branch manager anatoa milio vipi raia wa daraja la chini yake.Sisi wenyewe collectively hatuko tayari kulipeleka mbele Hili taifa, kama hatuko tayari Acha vilaza watuongoze, Kila kitu kina gharama, kama hatutaki kulipia gharama Acha tuongozwe na vilaza mwisho tuendelee Tu kushangaa.
Ni huzuni!!Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni.
Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida.
Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma wote, watu hao waliondoka na hawapo kabisa.
Uelewa kwa maana ya vichwa vilivyojaa data zinazoweza kutumika kwa manufaa ya nchi , umekuwa adimu kwa viongozi wetu. Ni mshangao kukuta kuna viongozi hawajui hata zile basics za sayansi ya jamii na matamanio ya wananchi.
Tumebaki na viongozi wanasiasa wanao endeleza survival politics, watu wa kujineemesha.
Watu kama hawa wanasiasa wa sasa wapo zaidi kujitetea na kutumia dola kuhakikisha maslahi binafsi ya utawala unalindwa kwa gharama yoyote.
Nini maoni yako?
Usitegemee maajabu ndani ya CCM chini ya Kikwete na Mama Samia, chama chenyewe kilishabatizwa na kuwa Chama Cha Mashetani (CCM).Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni.
Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida.
Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma wote, watu hao waliondoka na hawapo kabisa.
Uelewa kwa maana ya vichwa vilivyojaa data zinazoweza kutumika kwa manufaa ya nchi , umekuwa adimu kwa viongozi wetu. Ni mshangao kukuta kuna viongozi hawajui hata zile basics za sayansi ya jamii na matamanio ya wananchi.
Tumebaki na viongozi wanasiasa wanao endeleza survival politics, watu wa kujineemesha.
Watu kama hawa wanasiasa wa sasa wapo zaidi kujitetea na kutumia dola kuhakikisha maslahi binafsi ya utawala unalindwa kwa gharama yoyote.
Nini maoni yako?
CCM ilikuwa na sera nzuri za kupika viongozi, na ndio maana ingalau wakapatikana kina Kikwete, Nchimbi na wengine viongozi wasomi na wenye uelewa.Usitegemee maajabu ndani ya CCM chini ya Kikwete na Mama Samia, chama chenyewe kilishabatizwa na kuwa Chama Cha Mashetani (CCM).
Trully pathetic.Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni.
Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida.
Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma wote, watu hao waliondoka na hawapo kabisa.
Uelewa kwa maana ya vichwa vilivyojaa data zinazoweza kutumika kwa manufaa ya nchi , umekuwa adimu kwa viongozi wetu. Ni mshangao kukuta kuna viongozi hawajui hata zile basics za sayansi ya jamii na matamanio ya wananchi.
Tumebaki na viongozi wanasiasa wanao endeleza survival politics, watu wa kujineemesha.
Watu kama hawa wanasiasa wa sasa wapo zaidi kujitetea na kutumia dola kuhakikisha maslahi binafsi ya utawala unalindwa kwa gharama yoyote.
Nini maoni yako?
Wanasonya kimya kimyaTuko nao hapahapa jukwaani wanapita kimyakimya.
It’s all over the world
Our leaders are a true reflection of ourselves… if you are smart , why are not up there?
Oct 29 walijichagua wenyewe bila kura za wananchi
Mkapa? Aliyefungua kampuni #1 Luthuli Street?Do you really believe that smart people like Mzee Nyerere were a reflection of Tanzanians like you ?
Or can you argue that you and President Mkapa hail from similar worlds ?