Kiwango cha uelewa kwa viongozi wetu kiko chini sana

Kiwango cha uelewa kwa viongozi wetu kiko chini sana

Mkapa? Aliyefungua kampuni #1 Luthuli Street?

Btw, era ya Nyerere na leo ni sawa?

We are all getting worse because we focus on less intelligent things

Kuanzia ngazi ya familia, shule, imani etc. but we want different outcomes when it comes to Accountability

Pole
Hayo mengine ya familia yako, speak for yourself.

Ili hili la viongozi wa Tanzania kuwa wapumbavu ntakwambia.

Hata ingekuwa ni dunia ya leo. Huwezi kumuweka Kikwete na Mkapa kwenye kundi moja in terms of Class, Vision and Aptitude. Labda uwe mjinga sana ndiyo unaweza kumlinganisha Mkapa an Ivy League graduate, na Kikwete ChekiBobu Mcheza Mduara aliyekulia uswahilini, mhuni mmoja aliyelitumbukiza hili taifa korongoni. Wanachofanana Mkapa na Jakaya ni jinsia na UCCM tu.

Kuhusu suala la kuiba viongozi wengi wanaiba na kudhulumu. Usipoiba basi utadhulumu. Mzee Nyerere hakuwa mwizi kabisa, lakini alikuwa dhulumati wa mali za watu nyuma ya kivuli cha Ujamaa. Hivyo tunawavumilia tu kwenye hili, wanadamu ndivyo walivyo.\

Ila UPUMBAVU cannot be excused....
​
 
Japokuwa Mkapa na Nyerere walikuwa Smart. Ila walizungukwa na machecki bob, misheni town, watu wa dili wengi,

HIi inanipeleka kuhisi matatizo yetu mengi yameanzia kwa Nyerere.
 
Mimi nafikiri Tatizo lilianzia kwa Nyerere..

Kwa kusoma Historia na yanayoendelea.
Nina nadharia hii.

Awamu ya Kwanza: Nafikiri Nyerere hakupenda mawazo mbadala iwe ndani au nje ya chama. Wasomi (simaanisha mtu aliyeingia darasani na kuhitimu) wengi wakawa ni watu wa "ndio mzee". Ili kuendana na mfumo Wachache waliojaribu kuhoji walitolewa kwenye mfumo.
Mfumo ukajaa wavizia madaraka badala ya Viongozi wasomi.

Awamu ya pili: Wavizia madaraka wakajiachia, pengine kipindi hiki ndio wakajipatia mali za kutosha.
Wakahodhi sehemu nyeti muhimu.
N.k
Akijitokeza msomi anabagazwa, anapakazwa.
Mwalimu ndio akashituka sasa, "mbona nchi inaenda siko". Akamleta mkapa kama wengi wanavyodai. Ila tayari ashachelewa

Awamu ya tatu: Mkapa akaingia, tayari kila sehmu mchwa wamejaa. Ukikaa vibaya na wewe wanakutafuna. Akawa hana namna ya kuwafanya.
Zaidi ya kuishi nao hivyohvyo.
Angalia jinsi walivyompaka matope Dkt Salim.

Awamu ya nne. Kanuni ni ileile ukiingia we fanya kama mkubwa na watu wake wanavyotaka.

Kiufupi msomi na kilaza awawezi kukaa sehemu moja.
Sehemu yenye vilaza , msomi akiingia

Japokuwa Mkapa na Nyerere walikuwa Smart. Ila walizungukwa na machecki bob, misheni town, watu wa dili wengi,

HIi inanipeleka kuhisi matatizo yetu mengi yameanzia kwa Nyerere.
Nyerere na Mkapa kuzungukwa na macheki-bobu is a topic for another day.

Hapa nazungumzia kwamba huwezi kumfananisha Mkapa na Kikwete hata siku moja.

Wanafanana nini labda ?
​
 
Hayo mengine ya familia yako, speak for yourself.

Ili hili la viongozi wa Tanzania kuwa wapumbavu ntakwambia.

Hata ingekuwa ni dunia ya leo. Huwezi kumuweka Kikwete na Mkapa kwenye kundi moja in terms of Class, Vision and Aptitude. Labda uwe mjinga sana ndiyo unaweza kumlinganisha Mkapa an Ivy League graduate, na Kikwete ChekiBobu Mcheza Mduara aliyekulia uswahilini, mhuni mmoja aliyelitumbukiza hili taifa korongoni. Wanachofanana Mkapa na Jakaya ni jinsia na UCCM tu.

Kuhusu suala la kuiba viongozi wengi wanaiba na kudhulumu. Usipoiba basi utadhulumu. Mzee Nyerere hakuwa mwizi kabisa, lakini alikuwa dhulumati wa mali za watu nyuma ya kivuli cha Ujamaa. Hivyo tunawavumilia tu kwenye hili, wanadamu ndivyo walivyo.\

Ila UPUMBAVU cannot be excused....
​
The country (we) planted the seed many years ago

What are you doing to change things?

Starting with your family?
 
Dawa ya moto ni moto.

Sasa wewe mbele ya mtu mwenye mtutu unaenda kichwa kichwa, unategemea usipelekewe moto?
Mkuu kuna wakati mtutu unaweza kukosa maana, maana dawa ya mtutu ni mtutu mwingine.
Tusitengeneze mazingira hayo na wala tusifike huko.
 
Kiuhalisia hakuna nchi inayochagua viongozi wake kupitia Demokrasia.

Unachoita uhuru, watu kama Professor Noam Chomsky wanakiita Manufactured Consent.

Ili jamii iendelee vizuri ni lazima The Strongest, The Brightest and The Virtuous members washike usukani. La sivyo mtaendelea kupiga jalamba huku na kule bila kufika popote. Mimi napenda sana Demokrasia, lakini isipoangaliwa vizuri tutaishia kutawaliwa na wajinga wenye porojo za kuvutia(Demagogues and Populists). Wanadamu tumetofautiana uwezo na hili ndiyo wengi hatupendi kulikubali.

Kiuwezo huwezi kuwaweka Nyerere na Mkapa kwenye kundi moja na kina Kikwete au Samia. AU kina Mwandosya na Salimi, kwenye kundi moja na kina Jakaya na Lowassa. Kiufupi ni jambo la kushangaza imezekanaje Tanzania kuweza kuwa na Raisi aina ya Samia, Jakaya au Magufuli. Huwa nawaza na naishia kutingisha tu kichwa.

Nchi za wenzetu Uraisi hauongozi nchi peke yake, bali taasisi nyingi zinaongoza nchi. Ndiyo maana hali ikiharibika kumoja, sehemu nyingine kuna kuwa na ahueni nchi haitumbukiii korongoni.
​
Kilichonishangaza Salimu Amed Salimu kushidwa kua Rais wa nchi kama Tanzania au Mwadosya dunia sio fair kabisa inaitaji huwe strong sana
 
Back
Top Bottom