Kiwango cha uelewa kwa viongozi wetu kiko chini sana

Hayo mengine ya familia yako, speak for yourself.

Ili hili la viongozi wa Tanzania kuwa wapumbavu ntakwambia.

Hata ingekuwa ni dunia ya leo. Huwezi kumuweka Kikwete na Mkapa kwenye kundi moja in terms of Class, Vision and Aptitude. Labda uwe mjinga sana ndiyo unaweza kumlinganisha Mkapa an Ivy League graduate, na Kikwete ChekiBobu Mcheza Mduara aliyekulia uswahilini, mhuni mmoja aliyelitumbukiza hili taifa korongoni. Wanachofanana Mkapa na Jakaya ni jinsia na UCCM tu.

Kuhusu suala la kuiba viongozi wengi wanaiba na kudhulumu. Usipoiba basi utadhulumu. Mzee Nyerere hakuwa mwizi kabisa, lakini alikuwa dhulumati wa mali za watu nyuma ya kivuli cha Ujamaa. Hivyo tunawavumilia tu kwenye hili, wanadamu ndivyo walivyo.\

Ila UPUMBAVU cannot be excused....
​
 
Japokuwa Mkapa na Nyerere walikuwa Smart. Ila walizungukwa na machecki bob, misheni town, watu wa dili wengi,

HIi inanipeleka kuhisi matatizo yetu mengi yameanzia kwa Nyerere.
 
Nyerere na Mkapa kuzungukwa na macheki-bobu is a topic for another day.

Hapa nazungumzia kwamba huwezi kumfananisha Mkapa na Kikwete hata siku moja.

Wanafanana nini labda ?
​
 
The country (we) planted the seed many years ago

What are you doing to change things?

Starting with your family?
 
Dawa ya moto ni moto.

Sasa wewe mbele ya mtu mwenye mtutu unaenda kichwa kichwa, unategemea usipelekewe moto?
Mkuu kuna wakati mtutu unaweza kukosa maana, maana dawa ya mtutu ni mtutu mwingine.
Tusitengeneze mazingira hayo na wala tusifike huko.
 
Kilichonishangaza Salimu Amed Salimu kushidwa kua Rais wa nchi kama Tanzania au Mwadosya dunia sio fair kabisa inaitaji huwe strong sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…