Kiwango cha ujinga cha viongozi wa CCM, mashabiki wao, na raia kwa ujumla, kinatisha!

Rais ni mwajiriwa wetu.. Rais si mungu.. Hivyo vyote si mali yake binafsi ni vya wananchi wenye nchi! Kama kafanya kafanya kwa mujibu wa katiba na si hisani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo unalolisema nusu na robo ya watanzania hawalijui, hawajui kuwa they have power to remove the president from the office when he/she goes against their will.
Ni CCM ndio imetengeneza hii hali kwa manufaa yao na si kwaajili ya majority ya watanzania. Tuamke
 
Rais wa Tz ana madaraka makubwa mno, hata hizo hisani anaweza kuziminya tu na mambo yakaendelea kama kawaida tu(rejea katazo la JPM kuzuia mikutano ya kisiasa).

Ukifahamu hilo utawaelewa hao unaowaponda.
Katiba katiba
 
Ujinga wako ndio mzigo zaidi Kwa Nchi
 
Habari hizi zimfikie Chawa mwandamizi FaizaFoxy
 
Nyundo imetua kwenye msumari, kichwani.
Ila kuhusu ujinga, ni UKINGA ULIOPITILIZA. Inatisha. Mjinga analetewa jambo la kijinga sana na analishabikia kuhusu mjomga yile aloleta. Ni mjinga zaidi. Zuzu haswaa.
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu. Ila hii ignorance na stupidity ilianzia awamu ya 5. Nashangaa kila kinachofanywa na serikali utasikia rais katoa hela. Yani hadi madaktari wakitibu mgonjwa akipona sifa zinaenda kwa rais.
Hayati Mkapa alishalisemea hii ignorance na stupidity wakati wa serikali ya awamu ya 5 lakini bado ngoma ni ile ile.
 
Upo sahihi kabisa, ndiyo maana Mwalim JK Nyerere alisema hivi "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana JEURI na wenye KUJIAMIN, si vijana waoga akina "NDIYO BWANA MKUBWA" Vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshahibiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania".

Leo hii unakuta kuna vijana wa hovyo hovyo tu., malaya malaya tu. Unafiki, Njaa na Ubinafsi upo mbele kama tai., ukishampa tu kitu kidogo tayari unamtoa utimamu na kuwa mtu wa hovyo kabisa.
 
Tena mjinga wa kwanza ni wewe uliyekuwa unatetea ukatili wa magufuli humu.

Kipindi cha msukuma mwenzako ulikuwa unamtetea humu kila siku. Saivi hayupo ndo unaponda CCM kuna ujinga. Wewe ni mbaguzi tu na kila siku hoja zako zinaangalia nani yupo upande wako. Tunaokujua hutusumbui humu
 
Wakati wa udogo wangu sikujua kama mchele unalimwa kama yalivyo mahidi, maharage, kunde nk na hata baada ya kusoma vitabu mbalimbali vya jiografia bado sikuamini, na hili lilichangiwa na jiografia ya sehemu ninayoishi mchele ilikuwa ni nadra sana kuuona hata madukani hakuna, ilikuwa ni chakula ya watu flani flani.Mleta mada bado ana akili ya kitoto.
 
Eti Kinana naye kabisa ni wa kusema kuwa CDM wamepewa ruzuku na Samia!!??
Kweli kabisa hii ni stupidity of the highest level.
Sasa mwananchi wa kawaida si atakuwa mara 1000 ya huyo!!??
Labda wanalazishwa kfanya mikutano ndio maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…