Kiwango cha ujinga cha viongozi wa CCM, mashabiki wao, na raia kwa ujumla, kinatisha!

Kiwango cha ujinga cha viongozi wa CCM, mashabiki wao, na raia kwa ujumla, kinatisha!

Aah wapi, au unadhani tulikuwa hatuoni kipindi cha dhalimu?
Kwanza japo mwanzo alikuwa dhalimu na tukasema humu Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!, but he kept changing for the better, by the time anatwaliwa, he was a saint, and he went straight to heaven hivyo tusinuite dhalimu !. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Kama kila kitu kinachofanywa inaonekana ni Fadhila za rais unadhani kutakuwa na maendeleo hapo? Kila kitu utasikia, namshukuru sana rais................. kwa hiki na kile.

Kujenga madarasa au zahanati ni jambo la kumshukuru rais? Yaani nchi hii ukitekeleza majukumu yako unapongezwa 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Ni sawa na kumpongeza mzazi wako kwa kukulea na kukusomesha.

Wenye akili timamu watanielewa
 
Nl
Mkuu Lord denning , ukichukua jina la mtu mashuhuri kama Lord Denning, lazima umuishi na kuliishi hilo jina!. Nadhani JPM alikosolewa na Kanda ya Ziwa kuliko wengine wote!.
P

Mkuu Lord denning , ukichukua jina la mtu mashuhuri kama Lord Denning, lazima umuishi na kuliishi hilo jina!. Nadhani JPM alikosolewa na Kanda ya Ziwa kuliko wengine wote!.
P
Nimekuelewa mkuu paskali.

Uzuri wangu nimejaaliwa sana kusoma malice za watu wengi sana humu.

Kila uzi wa humu huwa naanza kuupima kwanza kwenye mizani ya motive behind.

Uzuri humu wakongwe tunajuana sana.
 
Kichwa cha mada kinajielezea.

Ni zaidi ya ujinga [ignorance]. Ni upumbavu [stupidity].

Rais Samia karuhusu mikutano ya vyama vya siasa.

Rais Samia kavipa vyama vya siasa ruzuku.

Rais Samia kamlipa Tundu Lissu stahiki zake za kibunge.

Rais Samia katoa mabilioni huku na kule.

Watu ambao mtu unaweza kudhani kuwa wana uelewa wa msingi tu wa jinsi ambavyo serikali inaendeswa, ndo wanaoongoza kwa huu upumbavu.

Sasa pata picha ya raia wengine ambao labda hawana uelewa wa kutosha kuhusu elimu ya uraia kwa ujumla.

Kama wale wanaoonekana kuwa na uelewa ndo wanaoongoza kwa upumbavu na ushabiki wa kujitoa akili, nchi hii Ina matumaini gani yaliyo halisi ya kupata maendeleo?

Matakwa ya kikatiba na kisheria siyo fadhila wala hisani ya Rais Samia wala Rais mwingine yeyote yule.

Kama hao chawa wa Samia wanayachukulia hayo matakwa ya kikatiba na kisheria kuwa ni hisani na fadhila ya huyo mama yao, basi huyo mama ni dikteta.

Maana kwenye udikteta huwa hakuna cha katiba wala sheria. Ni mwendo wa amri, hisani, na fadhila za dikteta tu.

Tanzania tuna idadi kubwa sana ya wajinga, wapumbavu, na mazuzu, wakiwemo viongozi wa serikali na vyama.

Na ndo maana si bahati mbaya kuwepo kuwa kwenye hali tuliyonayo.
Kwa maoni yangu wako wengi tu wenye akili, ufahamu na uelewa...

Mtu pekee aliye wa tofauti sana toka ktk vyama vyote vya siasa, mwenye ufahamu na uelewa wa hali ya juu sana (si mjinga, si mpumbavu, si Zuzu) ni role model wangu, Tundu Lissu pekee yake Makamu mwenyeki taifa - CHADEMA..

Huyu ndiye Kwa sasa anayetufundisha kujitambua na kujiamini na kusimama imara kututea haki zetu za kiraia katika nchi yetu..
 
Kwanza japo mwanzo alikuwa dhalimu na tukasema humu Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!, but he kept changing for the better, by the time anatwaliwa, he was a saint, and he went straight to heaven hivyo tusinuite dhalimu !. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Alikuwa kiongozi dhalimu, hilo halina mjadala.
 
Nimekuja kusoma na kuangalia kuona ujinga wa Watanzania unavyochanganuliwa na kufafanuliwa kisomi....nakutana na mtu anayeandika hisia na mtazamo wake binafsi kama kipimo cha werevu. (?) Pengine na hao wajinga wanakuona kama unavyowaona.

Too low......
 
Kama kila kitu kinachofanywa inaonekana ni Fadhila za rais unadhani kutakuwa na maendeleo hapo? Kila kitu utasikia, namshukuru sana rais................. kwa hiki na kile.

Kujenga madarasa au zahanati ni jambo la kumshukuru rais? Yaani nchi hii ukitekeleza majukumu yako unapongezwa 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Ni sawa na kumpongeza mzazi wako kwa kukulea na kukusomesha.

Wenye akili timamu watanielewa
Kwenye ishu za kisiasa, I agree with you kuwa kuna wajibu ulioomba mwenyewe uutende na unalipwa kwa ajili ya wajibu huo. Haiwezi kuwa ni hisani au fadhila.

Lakini hili la mahusiano ya mzazi na mtoto mimi nasema, HAPANA. Nadhani kutumia mfano wa mzazi kwa mrengo huu utakuwa ume- overlap. It's completely irrelevant..

Kwenye mahusiano ya mtoto na mzazi, kusema kweli, ni wajibu na ni thawabu kubwa na njema sana mtoto kumshukuru mzazi wake kwa yote aliyofanya katika maisha yake ikiwemo kumzaa, kumlea, kumpa mahitaji yake muhimu ya kila siku hadi kufikia hatua ya kujitegemea nk nk..
 
Nakipenda sana hicho kitabu ambacho jina lake umelifanyanprofile jina lako
Nimeisoma hii novel mara 8 kwa miaka 15. Kila niimalizapo, hujikuta naianza tena. Na kila niisomapo, huiona mpya kwangu. Huyu Mrusi ndiye novelist bora wa wakati wote kwangu.
 
Nimeisoma hii novel mara 8 kwa miaka 15. Kila niimalizapo, hujikuta naianza tena. Na kila niisomapo, huiona mpya kwangu. Huyu Mrusi ndiye novelist bora wa wakati wote kwangu.
Katika novel nzima miye napenda kile kitabu kidogo Cha The Grand Inquisitor

Fyodor Dostoevsky alifanya kazi kubwa sana
 
Tusipoamua kujichanganua nchi haiwezi kubadilika kwa lolote.
Nchi hii kuanzia waziri mkuu ni chawa hajitambua, hawezi kuongea kitu kama kiongozi aliyepo kisheria bali kama vile uwaziri mkuu ni hisani.

Kila kitu akitamka lazima antamke rais

Tena hilo jamaa ndio lioga na liongo kweli kweli !!
 
Kwenye ishu za kisiasa, I agree with you kuwa kuna wajibu ulioomba mwenyewe uutende na unalipwa kwa ajili ya wajibu huo. Haiwezi kuwa ni hisani au fadhila.

Lakini hili la mahusiano ya mzazi na mtoto mimi nasema, HAPANA. Nadhani kutumia mfano wa mzazi kwa mrengo huu utakuwa ume- overlap. It's completely irrelevant..

Kwenye mahusiano ya mtoto na mzazi, kusema kweli, ni wajibu na ni thawabu kubwa na njema sana mtoto kumshukuru mzazi wake kwa yote aliyofanya katika maisha yake ikiwemo kumzaa, kumlea, kumpa mahitaji yake muhimu ya kila siku hadi kufikia hatua ya kujitegemea nk nk..
Wala sina haja ya kubishana na wewe kwa hili la wazazi, huna haja ya kumshukuru mzazi kwa chochote kile anachokifanya kwako. Hayo ni Majukumu yake kwako na sio Hisani
 
Katika novel nzima miye napenda kile kitabu kidogo Cha The Grand Inquisitor

Fyodor Dostoevsky alifanya kazi kubwa sana
Sana. The whole idea ya Kiongozi wa katoliki kumsimanga Yesu, na kuwianisha nafasi ya kanisa iliyojitwika katika ulimwengu wa sasa na kurudi kwa Yesu, ni ubunifu wa hali ya juu sana katika dhana ya nafasi ya dini hapa ulimwenguni. Binafsi nampenda sana Aloysha lakini Ivan nilikuwa namkubali sana kwa mitazamo yake ya kiasi.
 
hu
cc: FaizaFoxy
huyu bibi ndio mshika funguo katika chumba cha vichaa, huyu anachoweza ni kumtetea na KUMSIFIA "mama" kwa kila jambo na kwa nguvu zote kwasababu mbili 1. Ni mwanamke mwenzake 2. Ni muislamu mwenzake.

ukimkosoa "mama" hata kwa jambo la wazi kabisa atarukia kua unamsema kisa ni muislamu.
 
Back
Top Bottom