Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

Yani mi utopolo ndo michawi namba moja mnavyoshabakia Simba kucheza amani kama nyie ndo Berkane...haizuii maumivu ya nyie kuishia makundi..
Haizuii maumivu ya simba kufika fainali na kufyeka chaka lenu....
Mnajua Simba akiwa lupaso anavyounguruna
Uchawi hauvuki maji!
 
Sawa kaka....
 
Hapana sijaridhika ule uwanja sio mali ya simba mpaka mpachike mizmu pale. Pananihusu pale maana ni uwanja wa Taifa na march 8 tulikua home ground mkakimbia
🀣🀣🀣🀣 ila Numby!
 
Vipi nikupe emoji moja kuliko kujitesa hivi? Atoto? Evelyn Salt mpe lile guta la vicheko....😊😊
Hapanaaaa! Hizi hizi ndio poa

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nasubiri wapigwe waje tena na kauli "bado tunajenga timu,na kikosi chetu bado hakijawa na muunganiko mzuri"😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…