Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

Huyu
Bina Chumchang Changchum unaitwa huku. πŸ˜‚
Kapatia lkn kidogo vitunguu vimezidi chumvi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mimi 39 nilienda kwa wadogo zangu kuwatembelea nipo ndani nawasikia majira waki waambia wadogo zangu tume mpaka yule mdogo wenu kamuulizeni nilishtuka sana yani Wadogo zangu leo wanakuwa kaka zangu
Aisee mtu haulizi. Direct kwa macho anaona mkubwa ni mdogo na mdogo ni mkubwa!
 
Kumbe wa 90 nao niwazee? Sikujua
 
Pesa ndio kila kitu, nyie wenye 45 mmetokea kipindi ambacho fursa zilikuwa wazi. Sahizi mnaweza ishi healthy lifestyle unalipa GYM, Una kazi nzuri au biashara kubwa kubwa. Una mke mtulivu kakuzalia watoto mnaishi kifamilia. Hapo kwanini usiwe na nuru.

Kijana wa 90 anapambana na harsh reality kwamba anatakiwa aendeshe maisha kwa boda boda au kuchoma mahindi ilihali ana cheti kizuri cha chuo. Wengi wanajificha kwenye udalali wa simu na vinginevyo ilimradi maisha yaende walau kuficha identity zao. Utaacha kuzeeka kweli, huku wimbo ni tafta helaaaa...Kazi huna lazma uchanganyikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…