Kizuwizi cha askari wa Lindi, ni moja ya vizuwizi maharamia na magaidi wanakichukia sana

Hiyo taarifa ya polisi naitilia mashaka,dereva mwenye kisu atake kuwaua askari 4 wenye siraha?.hapa kuna vitu vingi vimefichwa,Polisi wetu wanajulikana kwa kuficha taarifa ili kulindana.
Huyo Dereva ni Bwege Sana, yaani Una Roli, halafu unashuka kwenda kuwashambulia Polisi wenye SMG Kwa Kisu
Kwanini asingemalizana nao Kwa kuwagonga na roli
 
Kwa hiyo polisi kadhaa wenye bunduki hawawezi kumdhibiti mtu mwenye kisu kwa kumvunja hata miguu?? Ni kwa nini kila siku tunasikia tuu wameuwawa na hakuna hata siku moja tumeskia amedhibitiwa kwa kuvunjwa miguu???
Huyo Mtu lazima atakuwa Gaidi Mkuu na Polisi wanamjua ni Mtu Hatari
Hizo Nyingine Story tu
 
Nimesikia tukio la dereva kutaka kuwaua Askari ila wakamuwahi, jambo hili sijalishangaa kwangu naona kuwa ni jambo sasa Serikali kuweka vifaa maalumu pale kwenye kizuwizi kuwasaidia hawa Askari.

Kiufupi ukiwa kusini ukimuuliza dereva au mtu anaye ijua hiyo barabara atakwambia askari wapale Lindi ni hatari why?

Pale ndio stop point, utapita kote utahonga kote ila ukifika na mzigo Lindi kazi unayo pale wale jamaa hata kama watasema wanachukua rushwa minu nadhani itakuwa rushwa sio ya kawaida ila wapo makini hupiti kama una haramu umebeba na huo ndio ukweli.

Kwa wale wataalam wa yale yanayoendelea kusini utakubaliana na mimi Lindi hapawezi kuwa sehemu ya kupenda na maharamia au madereva wanaobeba magendo.

Niwape pole jeshi la polisi na niwatie nguvu kukaza bidii. Kazi na iendelee.
Akina Hamza tena??
 
Huyo Mtu lazima atakuwa Gaidi Mkuu na Polisi wanamjua ni Mtu Hatari
Hizo Nyingine Story tu
Mmh we unatetea tu. Polisi hata wakija kwako ukawahoji nyie akina nani ukiwakatalia kuingia wakakupiga risasi ripoti watakayokuja nayo watasema " tulikuwa kwenye operesheni tumeua jambazi sugu"

Hao jamaa ni waongo wa kiwango cha SGR

Akili.ya kawaida Kisu vs Siraha?? Hakuna Gaidi Mpumbavu wa hivyo.

Polisi wajipange upya.
 
Nimesikia tukio la dereva kutaka kuwaua Askari ila wakamuwahi, jambo hili sijalishangaa kwangu naona kuwa ni jambo sasa Serikali kuweka vifaa maalumu pale kwenye kizuwizi kuwasaidia hawa Askari.

Kiufupi ukiwa kusini ukimuuliza dereva au mtu anaye ijua hiyo barabara atakwambia askari wapale Lindi ni hatari why?

Pale ndio stop point, utapita kote utahonga kote ila ukifika na mzigo Lindi kazi unayo pale wale jamaa hata kama watasema wanachukua rushwa minu nadhani itakuwa rushwa sio ya kawaida ila wapo makini hupiti kama una haramu umebeba na huo ndio ukweli.

Kwa wale wataalam wa yale yanayoendelea kusini utakubaliana na mimi Lindi hapawezi kuwa sehemu ya kupenda na maharamia au madereva wanaobeba magendo.

Niwape pole jeshi la polisi na niwatie nguvu kukaza bidii. Kazi na iendelee.
Acha kushadidia dhuluma ya uhai wa MTU!! Issue ni kufanya uchunguzi huru
 
Kuna point moja hapo juu ya mdau nimeipenda, Kunapaswa kuwa na chombo kingine nje ya jeshi la polisi kitakachokuwa kinachunguza matukio yenye sintofahamu dhidi ya jeshi la polisi...

Hii inaweza kuwafunga governor mapolisi na kuitendea haki taaluma yao, lakini pia itasaidia kutoa haki dhidi ya raia kwenye matukio kama haya...
Mbona huo utaratibu ulikuwepo huko nyuma, hata kipindi cha kikwete alishawahi kuunda tume ya ki jaji, ikaongozwa na jaji KIPENKA, baada ya vifo vyenye utata vya wafanya biashara wa madini waliouawa na askari, ukweli ukabainika kuwa hawakuwa majambazi, na kuna askari walihukumiwa kunyongwe!!tatizo hili hasa liliota mizizi awamu ya 5, baada ya meko kuwapa mamlaka ya kuua tu , hivyo hawaogopi tena kwani hakuna kuundiwa tume ili kubaini ukweli wa hizo taarifa zao, juu ya mauwaji ya raia!!ila zamani walikuwa wanaogopa kwani kama wakimuua jambani lakini mazingira ya mauaji hayo yakawa na utata inaundwa tume!!!
 
Sio kuunda tume baada ya tukio...

Kunatakiwa tayari kuwe na taasisi nyingine chini ya Ikulu yenye meno na mamlaka yakuchunguza haya matukio wakati wowote kunapotokea utata...taasisi inatakiwa iwepo tayari sio kuundwa baada ya tukio..

JK aliunda tume ya Jaji Kipenka baada ya malalamiko kupitiliza juu ya tukio la kina Zombe.
 
Hawa jamaana wanafanya watu wwngine washindwe kupitisha magendo kwwnda msumbiiji..ndo maana jamaa alijitia muhanga..huyo jamaa unaweza kukuta ni gaidi
Hawa magaidi sio bure lazima wanatupiwa pepo,kujitoa mhanga ni kujiua lazima kuna nafsi nyingine inauteka mwili
 
Hiyo taarifa ya polisi naitilia mashaka,dereva mwenye kisu atake kuwaua askari 4 wenye siraha?.hapa kuna vitu vingi vimefichwa,Polisi wetu wanajulikana kwa kuficha taarifa ili kulindana.
Ukweli ni upi sasa? Labda mwenye ukweli ituambie?
 
Nimesikia tukio la dereva kutaka kuwaua Askari ila wakamuwahi, jambo hili sijalishangaa kwangu naona kuwa ni jambo sasa Serikali kuweka vifaa maalumu pale kwenye kizuwizi kuwasaidia hawa Askari.

Kiufupi ukiwa kusini ukimuuliza dereva au mtu anaye ijua hiyo barabara atakwambia askari wapale Lindi ni hatari why?

Pale ndio stop point, utapita kote utahonga kote ila ukifika na mzigo Lindi kazi unayo pale wale jamaa hata kama watasema wanachukua rushwa minu nadhani itakuwa rushwa sio ya kawaida ila wapo makini hupiti kama una haramu umebeba na huo ndio ukweli.

Kwa wale wataalam wa yale yanayoendelea kusini utakubaliana na mimi Lindi hapawezi kuwa sehemu ya kupenda na maharamia au madereva wanaobeba magendo.

Niwape pole jeshi la polisi na niwatie nguvu kukaza bidii. Kazi na iendelee.
Point yako nini? Maelezo marefu ila ndanimwe hamna hoja pumba tupu
 
Ugaidi tena?[emoji848][emoji848][emoji848].
Hamza nae mlisema.hivi hivi.
Msema peke mshindi.
Dereva wa gari la dangote anabeba magendo gani ukiacha cement inayotoka kiwandani?
 
Nipo Masasi hapa Mkuu kuhusu hiyo ishu wengi hawajui kabisaaa... ukweli ni kuwa hawa polisi wameficha ushahid pia jamaa ameuawa Kwa makusudi Tu na polisi kwasabb ya pesa.

Dereva alikuwa pekeyake ndani ya gari na ameporwa pesa na vitu vingine vya thamani pamoja na documents za oficn kwake,huku Kwenye mitandao watu hawajui lolote zaidi kupata picha ya upande mmoja
Nilihisi hii kitu mkuu,Tanzania hatuna Polisi kuna majambazi!,pole nyingi kwa familia yake.
 
Hawa jamaana wanafanya watu wwngine washindwe kupitisha magendo kwwnda msumbiiji..ndo maana jamaa alijitia muhanga..huyo jamaa unaweza kukuta ni gaidi
So jamaa alishuka na kisu kwenda kuwanyanganya Police silaha za moto?
 
Back
Top Bottom