Mbona huo utaratibu ulikuwepo huko nyuma, hata kipindi cha kikwete alishawahi kuunda tume ya ki jaji, ikaongozwa na jaji KIPENKA, baada ya vifo vyenye utata vya wafanya biashara wa madini waliouawa na askari, ukweli ukabainika kuwa hawakuwa majambazi, na kuna askari walihukumiwa kunyongwe!!tatizo hili hasa liliota mizizi awamu ya 5, baada ya meko kuwapa mamlaka ya kuua tu , hivyo hawaogopi tena kwani hakuna kuundiwa tume ili kubaini ukweli wa hizo taarifa zao, juu ya mauwaji ya raia!!ila zamani walikuwa wanaogopa kwani kama wakimuua jambani lakini mazingira ya mauaji hayo yakawa na utata inaundwa tume!!!