Huyo Dereva ni Bwege Sana, yaani Una Roli, halafu unashuka kwenda kuwashambulia Polisi wenye SMG Kwa KisuHiyo taarifa ya polisi naitilia mashaka,dereva mwenye kisu atake kuwaua askari 4 wenye siraha?.hapa kuna vitu vingi vimefichwa,Polisi wetu wanajulikana kwa kuficha taarifa ili kulindana.
Huyo Mtu lazima atakuwa Gaidi Mkuu na Polisi wanamjua ni Mtu HatariKwa hiyo polisi kadhaa wenye bunduki hawawezi kumdhibiti mtu mwenye kisu kwa kumvunja hata miguu?? Ni kwa nini kila siku tunasikia tuu wameuwawa na hakuna hata siku moja tumeskia amedhibitiwa kwa kuvunjwa miguu???
Akina Hamza tena??Nimesikia tukio la dereva kutaka kuwaua Askari ila wakamuwahi, jambo hili sijalishangaa kwangu naona kuwa ni jambo sasa Serikali kuweka vifaa maalumu pale kwenye kizuwizi kuwasaidia hawa Askari.
Kiufupi ukiwa kusini ukimuuliza dereva au mtu anaye ijua hiyo barabara atakwambia askari wapale Lindi ni hatari why?
Pale ndio stop point, utapita kote utahonga kote ila ukifika na mzigo Lindi kazi unayo pale wale jamaa hata kama watasema wanachukua rushwa minu nadhani itakuwa rushwa sio ya kawaida ila wapo makini hupiti kama una haramu umebeba na huo ndio ukweli.
Kwa wale wataalam wa yale yanayoendelea kusini utakubaliana na mimi Lindi hapawezi kuwa sehemu ya kupenda na maharamia au madereva wanaobeba magendo.
Niwape pole jeshi la polisi na niwatie nguvu kukaza bidii. Kazi na iendelee.
Mmh we unatetea tu. Polisi hata wakija kwako ukawahoji nyie akina nani ukiwakatalia kuingia wakakupiga risasi ripoti watakayokuja nayo watasema " tulikuwa kwenye operesheni tumeua jambazi sugu"Huyo Mtu lazima atakuwa Gaidi Mkuu na Polisi wanamjua ni Mtu Hatari
Hizo Nyingine Story tu
Acha kushadidia dhuluma ya uhai wa MTU!! Issue ni kufanya uchunguzi huruNimesikia tukio la dereva kutaka kuwaua Askari ila wakamuwahi, jambo hili sijalishangaa kwangu naona kuwa ni jambo sasa Serikali kuweka vifaa maalumu pale kwenye kizuwizi kuwasaidia hawa Askari.
Kiufupi ukiwa kusini ukimuuliza dereva au mtu anaye ijua hiyo barabara atakwambia askari wapale Lindi ni hatari why?
Pale ndio stop point, utapita kote utahonga kote ila ukifika na mzigo Lindi kazi unayo pale wale jamaa hata kama watasema wanachukua rushwa minu nadhani itakuwa rushwa sio ya kawaida ila wapo makini hupiti kama una haramu umebeba na huo ndio ukweli.
Kwa wale wataalam wa yale yanayoendelea kusini utakubaliana na mimi Lindi hapawezi kuwa sehemu ya kupenda na maharamia au madereva wanaobeba magendo.
Niwape pole jeshi la polisi na niwatie nguvu kukaza bidii. Kazi na iendelee.
Mbona huo utaratibu ulikuwepo huko nyuma, hata kipindi cha kikwete alishawahi kuunda tume ya ki jaji, ikaongozwa na jaji KIPENKA, baada ya vifo vyenye utata vya wafanya biashara wa madini waliouawa na askari, ukweli ukabainika kuwa hawakuwa majambazi, na kuna askari walihukumiwa kunyongwe!!tatizo hili hasa liliota mizizi awamu ya 5, baada ya meko kuwapa mamlaka ya kuua tu , hivyo hawaogopi tena kwani hakuna kuundiwa tume ili kubaini ukweli wa hizo taarifa zao, juu ya mauwaji ya raia!!ila zamani walikuwa wanaogopa kwani kama wakimuua jambani lakini mazingira ya mauaji hayo yakawa na utata inaundwa tume!!!Kuna point moja hapo juu ya mdau nimeipenda, Kunapaswa kuwa na chombo kingine nje ya jeshi la polisi kitakachokuwa kinachunguza matukio yenye sintofahamu dhidi ya jeshi la polisi...
Hii inaweza kuwafunga governor mapolisi na kuitendea haki taaluma yao, lakini pia itasaidia kutoa haki dhidi ya raia kwenye matukio kama haya...
Mbona huo utaratibu ulikuwepo huko nyuma, hata kipindi cha kikwete alishawahi kuunda tume ya ki jaji, ikaongozwa na jaji KIPENKA, baada ya vifo vyenye utata vya wafanya biashara wa madini waliouawa na askari, ukweli ukabainika kuwa hawakuwa majambazi, na kuna askari walihukumiwa kunyongwe!!tatizo hili hasa liliota mizizi awamu ya 5, baada ya meko kuwapa mamlaka ya kuua tu , hivyo hawaogopi tena kwani hakuna kuundiwa tume ili kubaini ukweli wa hizo taarifa zao, juu ya mauwaji ya raia!!ila zamani walikuwa wanaogopa kwani kama wakimuua jambani lakini mazingira ya mauaji hayo yakawa na utata inaundwa tume!!!
Hawa magaidi sio bure lazima wanatupiwa pepo,kujitoa mhanga ni kujiua lazima kuna nafsi nyingine inauteka mwiliHawa jamaana wanafanya watu wwngine washindwe kupitisha magendo kwwnda msumbiiji..ndo maana jamaa alijitia muhanga..huyo jamaa unaweza kukuta ni gaidi
Ukweli ni upi sasa? Labda mwenye ukweli ituambie?Hiyo taarifa ya polisi naitilia mashaka,dereva mwenye kisu atake kuwaua askari 4 wenye siraha?.hapa kuna vitu vingi vimefichwa,Polisi wetu wanajulikana kwa kuficha taarifa ili kulindana.
Sio kwa mtu mwenye SMG aisee zinatoka risasi kama maji kwa speed ya mtoa kisu ambayo hatoiweza tatizo mnaangalia sana movie za kichina...kisu ni hatari ila sio kwa bastola yeyote hata ya kutengenezwa mbozi..hv kwel haujui km kisu n silaha hatar
Point yako nini? Maelezo marefu ila ndanimwe hamna hoja pumba tupuNimesikia tukio la dereva kutaka kuwaua Askari ila wakamuwahi, jambo hili sijalishangaa kwangu naona kuwa ni jambo sasa Serikali kuweka vifaa maalumu pale kwenye kizuwizi kuwasaidia hawa Askari.
Kiufupi ukiwa kusini ukimuuliza dereva au mtu anaye ijua hiyo barabara atakwambia askari wapale Lindi ni hatari why?
Pale ndio stop point, utapita kote utahonga kote ila ukifika na mzigo Lindi kazi unayo pale wale jamaa hata kama watasema wanachukua rushwa minu nadhani itakuwa rushwa sio ya kawaida ila wapo makini hupiti kama una haramu umebeba na huo ndio ukweli.
Kwa wale wataalam wa yale yanayoendelea kusini utakubaliana na mimi Lindi hapawezi kuwa sehemu ya kupenda na maharamia au madereva wanaobeba magendo.
Niwape pole jeshi la polisi na niwatie nguvu kukaza bidii. Kazi na iendelee.
Nilihisi hii kitu mkuu,Tanzania hatuna Polisi kuna majambazi!,pole nyingi kwa familia yake.Nipo Masasi hapa Mkuu kuhusu hiyo ishu wengi hawajui kabisaaa... ukweli ni kuwa hawa polisi wameficha ushahid pia jamaa ameuawa Kwa makusudi Tu na polisi kwasabb ya pesa.
Dereva alikuwa pekeyake ndani ya gari na ameporwa pesa na vitu vingine vya thamani pamoja na documents za oficn kwake,huku Kwenye mitandao watu hawajui lolote zaidi kupata picha ya upande mmoja
Hizi ndizo akili za askari wetu.SAD.Hakuna tukio la kuchunguzwa hapo ,kazi nzuri makamanda,
Kisu hatari mbele ya fimbo,siyo SMG.hv kwel haujui km kisu n silaha hatar
So jamaa alishuka na kisu kwenda kuwanyanganya Police silaha za moto?Hawa jamaana wanafanya watu wwngine washindwe kupitisha magendo kwwnda msumbiiji..ndo maana jamaa alijitia muhanga..huyo jamaa unaweza kukuta ni gaidi
Hatari kuliko bunduki? Ccm ni mazwaza kweli kwelihv kwel haujui km kisu n silaha hatar
Umejuaje? You are a critical thinker buddyHiyo taarifa ya polisi naitilia mashaka,dereva mwenye kisu atake kuwaua askari 4 wenye siraha?.hapa kuna vitu vingi vimefichwa,Polisi wetu wanajulikana kwa kuficha taarifa ili kulindana.