Kizuwizi cha askari wa Lindi, ni moja ya vizuwizi maharamia na magaidi wanakichukia sana

Tatizo la tume ni mpaka watu walalamike sanaa na rais aingilie kati kuiunda, vinginevyo inapita kimya kimya... Lakini kukiwa na chombo cha kikatiba undetandaji wao utakuwa unachunguzwa na pale yanapotokea mauaji yenye utata chombo kinafanya uchunguzi maalum na wakipatikana na hatia wanasjgulikiwa fasta, mbona wangeogopa?
 
Jamaa alipigwa risasi akiwa ndani ya gari?
 
Tena hakuna maaskari wala rushwa kama hao waoLindi nuksii!!aunty yangu alikamatwa na pembe za ndovu walimtoa 60mils..mbwa tu hao askari wa Tanzania ni mashetani kabisaa..hayafai
Shangazi yako alitoa?
 
Tafuta hela usikariri mambo ya katiba haimlishi mama yako wala familia yako.
Makatili yataendelea kuwa makatili na wewe unaingia nyumba za ibada zinazohubiri upendo,shetani mkubwa kwako fedha ndio kila kitu,wapi uliona fedha zinakupeleka kaburini?middle class aliye mpumbavu na katili mno.
 
Difenda ilisindikiza magendo?
mbele ya 60m....chezea pesa wewe nnachokuambia alisimulia mwenyewe kwa mdomo wake na wenziwe walokuwepo enzi izoo!!!!ila kwa magufuli aliwanyoonya ameacha hizi mishe!maana wengi walipotea
 
mbele ya 60m....chezea pesa wewe nnachokuambia alisimulia mwenyewe kwa mdomo wake na wenziwe walokuwepo enzi izoo!!!!ila kwa magufuli aliwanyoonya ameacha hizi mishe!maana wengi walipotea
Poleni sana, Walifunga kampuni mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…