KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

Taratibu za kupata uaskofu au kitu chochote Cha uongozi Mara nyingi Ni vurugu na umafia ufanyika ndio tunazita siasa za kanisa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na hizi Phd magumashi wanapeana zinawatia kiburi cha bure baadhi ya watumishi wa kiroho. Ingekua vema kuona watumishi wale tu waliyosoma mafunzo yawe ya dini au elimu zingine hadi kupata shahada ya Phd kutumia tittle ya Dr.
 
Kilicho mponza mchungaji wa watu ni kusema kweli mbele ya watu wasiopenda ukweli... Hata ccm ukiwaambia ukweli wanaona unawakosea heshima [emoji23][emoji23] ... Nimemsikiliza mchungaji Tena na Tena, yaani kaongea ukweli mtupuuuu kbs...nilivyo muelewa yule jamaa ni kuwa , wakristo tujisahihishe
 
Ukiwa na hekima ndio utaona kwamba jamaa ametumia lugha flani hivi ya picha ili kuwakumbusha kuwa watu tubadilike tuone wenzetu wamewezaje ili nasisi tunyooke.

Ila kama kawaida Tanzania ukiongea fact uwe hujafungamana na taasisi yeyote ile maana hata kama hujaisema taasisi lazma ikuvagae kwamba kwanini umeongea kitu cha namna hio.
 
Kwani huko kkkt uaskofu huwa unagombaniwa kwa kuomba kura?
 
Inawezekana sasa haya makanisa yameanza kutumiwa na wachungaji kama vijiwe vya kutafuta umaarufu ili wajipatie wafuasi, siku wakitoka nje ya hapo wahame na wafuasi wao waende kwenye makanisa watakayoanzisha..

Waumini wanatumika bila kujua dhamira za ndani za hao wachungaji, kwasababu kama nia ya mchungaji ni kuihubiri injili, ujuaji hauwezi kupata nafasi mahala hapo, lakini kama mtu ana sababu zake zilizojificha, lazima awe mjuaji ili mwisho wa siku atimize malengo yake.
 
Freemason ufanya Kazi kupitia maaskofu wengi Ili kufifisha injili.
Hata yule askofu aliyeleta mgogoro TAG ni member wa freemason batani 3 hata sasa,na anashiriki vikao vya freemason hata kesho.
Shetani ana hasira sana na Moses Kulola sababu kamgaragaza Sana shetani alipokuwa duniani. Thus ana hasira sana na wafuasi wa Moses Kulola,bila Mch Mwaisabila yule askofu dr alishaliuza kanisa kwa freemason.
So huwa hatushangai ya Kimaro sio mapya, shetani kazini.
 
Ninachofurahi mchungaji Kimaro yeye ameaga tu kondoo wake. Mengine yote ni ya sisi tunaoongea pasipokujua sababu ya likizo ya lazima. Ameshaanza likizo yake ya siku 60. Hebu tumwache apumzike.
 
Sababu zilizojificha ndio zipi hizo, mtu kuongea ukweli ndio ujuaji? Pathetic Tanzanians like you deserve to be bombed.
 
Kwamba Kimaro anatumika na shetani
 

Sijui hata unajua umeandika nini
 
KKKT inaongozwa na katiba mkuu. Ile ni taasisi kuwa muelewa. Kimaro analipwa mshahara kila mwisho wa mwezi, muajiriwa wa KKKT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…