KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

KKKT inaongozwa na katiba mkuu. Ile ni taasisi kuwa muelewa. Kimaro analipwa mshahara kila mwisho wa mwezi, muajiriwa wa KKKT
Kwn kulipwa mshahara na kkkt ndo kuna mzuia kuusema ukweli?? Je , hakuna wachungaji matapeli ?? Hakuna waumuni matapeli??? Sikiliza ndg yngu, wakristo tujisahihishe
 
Sisi walokole hatuna shida. unabologoka na kanisa unafyatuka na kundi la waumini mnaanzsha la kwenu ila mambo ykiwashinda mnarudi mmoj mmoja na mnapokelewa.
 
Alionywa kwa kosa lipi?

Waliogopa tu kuwa siku akisimama kugombeya U Askofu atawabwaga wote.
...
Mambo ya kiutawala ulitaka yaelezwe hadharani? Hii tabia ya kushadidia mtu inazidi kuota mizizi hasa katika haya makanisa ya kiprotestant.

Tumeona huko Konde na sasa Kijitonyama. Ninyi sio mliomleta hapo. Aliyemleta ana haki ya kumuondoa na kumpeleka pengine anapoona panafaa.
 
Kanisa ka Kiinjili, la Kilutheri Tanzania, KKKT ina hstoria na ni taasisi ya muda mrefu. Ina taratibu na kanuni zake , mchungaji au mtumishi atafanya mbwembwe zake zoote lakini lazima awe ndani ya utaratibu wa Kanisa...
Sisi tukikuwekea uchafu wa Malasusa hapa utaongea unachoongea chief. Mi nafikir kanisa linatakiwa lijitafakar. Kama lengo la Yesu lilikuwa ni kujenga taasisi imara au kuwafundisha Watu kuacha dhambi na kuutafuta ufalme wa Mungu.

Huko ulaya hiz taasisi unazoona wewe ni imara zinafungisha mpaka mashoga ndoa so ni vizur kutafakar ni au tulinde uimara wa taasisi au tuihubir kweli Watu waokolewe.
 
Mambo ya kiutawala ulitaka yaelezwe hadharani? Hii tabia ya kushadidia mtu inazidi kuota mizizi hasa katika haya makanisa ya kiprotestant. Tumeona huko Konde na sasa Kijitonyama. Ninyi sio mliomleta hapo. Aliyemleta ana haki ya kumuondoa na kumpeleka pengine anapoona panafaa.
Natamani hata Marehemu Askofu Stefano Rubeni Moshi asingeunganisha hili kanisa.

Kila watu wangebaki kwao
 
Sisi tukikuwekea uchafu wa Malasusa hapa utaongea unachoongea chief. Mi nafikir kanisa linatakiwa lijitafakar. Kama lengo la Yesu lilikuwa ni kujenga taasisi imara au kuwafundisha Watu kuacha dhambi na kuutafuta ufalme wa Mungu. Huko ulaya hiz taasisi unazoona wewe ni imara zinafungisha mpaka mashoga ndoa so ni vizur kutafakar ni au tulinde uimara wa taasisi au tuihubir kweli Watu waokolewe.
Mkuu KKKT ni kubwa kuliko Malasusa.
 
Kwn kulipwa mshahara na kkkt ndo kuna mzuia kuusema ukweli?? Je , hakuna wachungaji matapeli ?? Hakuna waumuni matapeli??? Sikiliza ndg yngu, wakristo tujisahihishe
Lengo langu ni uelewe kwamba KKKT ni taasisi. Na kila taasisi inaendeshwa na taratibu zake ambazo imejiwekea. Ni simple tu kama Kimaro anaona taratibu za KKKT zinambana anauwezo wa kujitoa ili awe huru zaidi.

Concept ni kwamba amekiuka taratibu nimewai kuudhuria ibada pale kijitonyama Lutheran, mchungaji Kimaro alikuwa hafuati Liturgia ambay ndio inaongoza ibada, pamoja na mazuri mengi aliyofanya haimaanishi kuwa anapokosea asikosolewe na yey ni binadamu kuna mahali anakosea.

Hekima imewaangusha wengi, ana mazuri mengi aliyofanya na pia anapokosea anaambiwa vile vile
 
Mkuu KKKT ni kubwa kuliko Malasusa.
Sasa ikiwa ni kubwa kuliko Ask Malasusa unapaswa kuhoji nini kimetokea sio suala tu ni kubwa kuliko fulan hilo ni kukosa kufikir sawasawa. Na hilo kosa walifanya Papa pale Rome wakati wa Dr Luther limewacost mpaka leo. Tuache majibu ya jumla jumla tuwe wadadis kabla ya kuja na jibu la jumla.
 
Yesu hakuwa na kipato binafsi pembeni.
Yohana Mbatizaji vilevile, alikula asali na nzige jangwani, lakini bado alipata wafuasi wengi.
Ungesema mapema kwamba tatizo kipato binasi cha pembeni!
Ujue Yesu Alikuwa maskini ili tuwe Matajiri!
[emoji116][emoji116]
2 Corinthians 8:9
[9]Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.
 
What else?

okay Kuna kundi maalum au tuseme wajumbe ambao wanakuwa wamechaguliwa na vikao vyao.

Mchungaji kama Kimaro au Matsai jina likipita tu wameshinda.

Ni kama wanataka kulidhoofisha kanisa huko kasikazini
Dada angu mam....mchakato wa kumpta askofu wa kuingoza dayosi au kkkt yote siyo rais kama ulivyo elezea in a shallow way hpn [emoji847] Ni utaratibu wa vikao visito vya misioni na secretarieti ya kanisa Kisha vikao vitaanza kuwa jadilli na Sasa kura hupigwa kutoka wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo husika ,Kama Ni askofu wa jimbo ila Kama Ni askofu mkuu yaani mkuu wa kanisa bas wapiga kura siyo wachungaji Ni maskofu was majimbo na dayosis wanazoongoza nduo watashiriki ktk uchaguzi na siyo mtu au member wa kanisa nduo wapiga kura

Kwako kygata ....@kyagata nitakutumia dcm jinsi tunavyompata askofu wa jimbo na mkuu wa kanisa anapatikanaje

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dada angu mam....mchakato wa kumpta askofu wa kuingoza dayosi au kkkt yote siyo rais kama ulivyo elezea in a shallow way hpn
emoji847.png
Ni utaratibu wa vikao visito vya misioni na secretarieti ya kanisa Kisha vikao vitaanza kuwa jadilli na Sasa kura hupigwa kutoka wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo husika ,Kama Ni askofu wa jimbo ila Kama Ni askofu mkuu yaani mkuu wa kanisa bas wapiga kura siyo wachungaji Ni maskofu was majimbo na dayosis wanazoongoza nduo watashiriki ktk uchaguzi na siyo mtu au member wa kanisa nduo wapiga kura

Kwako kygata ....@kyagata nitakutumia dcm jinsi tunavyompata askofu wa jimbo na mkuu wa kanisa anapatikanaje

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile ap

Dada angu mam....mchakato wa kumpta askofu wa kuingoza dayosi au kkkt yote siyo rais kama ulivyo elezea in a shallow way hpn [emoji847] Ni utaratibu wa vikao visito vya misioni na secretarieti ya kanisa Kisha vikao vitaanza kuwa jadilli na Sasa kura hupigwa kutoka wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo husika ,Kama Ni askofu wa jimbo ila Kama Ni askofu mkuu yaani mkuu wa kanisa bas wapiga kura siyo wachungaji Ni maskofu was majimbo na dayosis wanazoongoza nduo watashiriki ktk uchaguzi na siyo mtu au member wa kanisa nduo wapiga kura

Kwako kygata ....@kyagata nitakutumia dcm jinsi tunavyompata askofu wa jimbo na mkuu wa kanisa anapatikanaje

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndo maana kuna darasa la saba A na la saba B. 🤣

Thanks
 
Alionywa kwa kosa lipi?

Waliogopa tu kuwa siku akisimama kugombeya U Askofu atawabwaga wote.

Yupo huyo mkuu wa jimbo naamini ana lenga kuwa Askofu, anadhoofisha wengine nguvu.

Je mmesahau huyu mkuu wa jimbo kufikia hapo alifanya kitu gani?

Na hapa wanajiandaa kumdhoofisha pia Matsai

Politiki za KKKT ni zaidi ya kule kwenye si(h)asa. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom