Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #61
Kaa kimya, utaelewa tu.Upumbavu mtupu!
Unaweza kuweka hapa hizo taratibu alizokiuka mch. Kimaro?
Ukija ambiwa kambaka shemejiyo usijeruka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa kimya, utaelewa tu.Upumbavu mtupu!
Unaweza kuweka hapa hizo taratibu alizokiuka mch. Kimaro?
Kimaro angebaki Moshi au?Natamani hata Marehemu Askofu Stefano Rubeni Moshi asingeunganisha hili kanisa.
Kila watu wangebaki kwao
Hahaha.......mkono wa baunsaKaa kimya, utaelewa tu.
Ukija ambiwa kambaka shemejiyo usijeruka!
Hananja , alikuwa mchungaji mswahili mswahili asiye na maono wala utaratibu.IIa lazima tukubaliane kuwa Doyasisi ya mashariki na Pwani chini ya Mwalasusa ina matatizo mengi sana miaka yote!
'Saa ya ukombozi ni sasa': By Mch. Hananje
Be blessedRubbish tupu. Kwa taarifa yako tu, kanisa hai lenye kumwabudu Mungu katika roho na kweli huwa halizuiliwi na mipaka, mapokeo ya kibinadamu. Refer kina Petro na Yohana baada ya kumponya yule kiwete pale kwenye mlango mzuri wakati wanakwenda kusali.
Viongozi wa dini wakawaita na kuwapiga biti mbaya kabisa, unajua walichosema? Walijibu "IMETUPASA KUMTII MUNGU, KULIKO WANADAMU". Wachungaji wa kweli husimama na kweli, no matter what.
NdiyoKwani huko kkkt uaskofu huwa unagombaniwa kwa kuomba kura?
Unadhani uaskofu unagombewa kama ubunge au udiwani au wewe unautaka ukagombee !!!Alionywa kwa kosa lipi?
Waliogopa tu kuwa siku akisimama kugombeya U Askofu atawabwaga wote.
Yupo huyo mkuu wa jimbo naamini ana lenga kuwa Askofu, anadhoofisha wengine nguvu.
Je mmesahau huyu mkuu wa jimbo kufikia hapo alifanya kitu gani?
Na hapa wanajiandaa kumdhoofisha pia Matsai
Huu ndiyo upotoshaji wenyewe.Kumbuka Peter na Yohana hawakuwa na contract ya kazi na hilo kanisa, hivyo hawakuwa na cha kuwafanya.Usipofuata taratibu za muajiri wako wewe ni mkosaji,ukiendelea kubisha bisha unapigwa chini na unakuwa huna pa kushitaki.Ukiona unabanwa unatafuta muajiri mwingine tena,mwingine tena na mwingine tena.Rubbish tupu. Kwa taarifa yako tu, kanisa hai lenye kumwabudu Mungu katika roho na kweli huwa halizuiliwi na mipaka, mapokeo ya kibinadamu. Refer kina Petro na Yohana baada ya kumponya yule kiwete pale kwenye mlango mzuri wakati wanakwenda kusali.
Viongozi wa dini wakawaita na kuwapiga biti mbaya kabisa, unajua walichosema? Walijibu "IMETUPASA KUMTII MUNGU, KULIKO WANADAMU". Wachungaji wa kweli husimama na kweli, no matter what.
This is too low for Mamndenyi. Unaombea utengano? Serious? Kisa tu Kimaro kuondolewa Kijitonyama? Inamaana KKKT nzima ni Kimaro tu anayefaa kuwa mchungaji wa Kijitonyama? Mbona wataka kudhalilisha kanisa la KKKT kiasi hiki. Kwani huko atakapopelekwa hakuna watu wanohitaji huduma yake kama ninyi? Tusemeje basi? Ninyi ni wabinafsi sio? Ningekuwa Askofu wa KKKT ningepiga marufuku mahubiri kupitia accounts binafsi za youtube na digital platforms. Wachungaji wengi huzitumia kujitengenezea umaarufu binafsi kuliko taasisi wanayoisimamia, na hivyo kusababisha migogoro isiyo na tija.Natamani hata Marehemu Askofu Stefano Rubeni Moshi asingeunganisha hili kanisa.
Kila watu wangebaki kwao
Ukishakuwa muhubiri injili, mashindano na wanadamu wenzio hayatakiwi, vinginevyo utashindana kama una lako jambo.Sababu zilizojificha ndio zipi hizo, mtu kuongea ukweli ndio ujuaji? Pathetic Tanzanians like you deserve to be bombed.
Ukabila kazini😥😥What else?
okay Kuna kundi maalum au tuseme wajumbe ambao wanakuwa wamechaguliwa na vikao vyao.
Mchungaji kama Kimaro au Matsai jina likipita tu wameshinda.
Ni kama wanataka kulidhoofisha kanisa huko kasikazini
Ubinafsi, jeuri na kipato binafsi ndivyo vinavyomsumbua Kimaro.This is too low for Mamndenyi. Unaombea utengano? Serious? Kisa tu Kimaro kuondolewa Kijitonyama? Inamaana KKKT nzima ni Kimaro tu anayefaa kuwa mchungaji wa Kijitonyama? Mbona wataka kudhalilisha kanisa la KKKT kiasi hiki. Kwani huko atakapopelekwa hakuna watu wanohitaji huduma yake kama ninyi? Tusemeje basi? Ninyi ni wabinafsi sio? Ningekuwa Askofu wa KKKT ningepiga marufuku mahubiri kupitia accounts binafsi za youtube na digital platforms. Wachungaji wengi huzitumia kujitengenezea umaarufu binafsi kuliko taasisi wanayoisimamia, na hivyo kusababisha migogoro isiyo na tija.
Hao wanyakyusa wanachofanya hukioniUkabila kazini😥😥
Kikubwa kuliko mtu ni KKKT au ni WAUMINI?Kanisa ka Kiinjili, la Kilutheri Tanzania, KKKT ina historia , na ni taasisi ya muda mrefu.
Ina taratibu na kanuni zake , mchungaji au mtumishi atafanya mbwembwe zake zoote lakini lazima awe ndani ya utaratibu wa Kanisa.
Mtumishi akiwa na Karama au upako lazima aongozwe na hekima, na siyo jeuri na kiburi cha kufanya na kusema atakavyo kwa kujiona yuko juu ya taratibu zilizowekwa.
Hakuna Mtumishi aliye juu ya KKKT kama taasisi.
KKKT ni kubwa kiasi kwamba hata askofu hayupo juu ya KKKT.
Sasa hivi tunaona watumishi wanao lipatia kanisa au usharika mafanikio.
Cha kushangaza mafanikio yao yanawapanda kichwani na kuanza jeuri, dharau na kiburi.
Sababu kubwa ni ukubwa wa wafuasi binafsi walionao.
Mwaka jana katika Dayosisi ya Konde , Askofu wake Dr Mwaikali alivuliwa uaskofu. Wengi wa tulioifuatilia ile ibada ya kumvua Uaskofu tulisononeshwa na ukaidi wa Askofu Mwaikali.
Leo, Dayosisi ya KKKT Konde na kanisa linaendelea.
Kama mtumishi anajiona ana karama na unapendwa na watu wengi, bado una wiwa kufuata taratibu za Kanisa.
Kinyume na hapo kwa karama zako anzisha taasisi yako,
Jeuri na kiburi alichoanza kuonyesha hadharani huyu Dr Rev Eliona Kimaro ni upungufu wa maono ya kutoona mbali.
Kuna fununu kuwa Kimaro alionywa mara kadhaa juu ya tabia yake binafsi kujiona yuko juu ya utaratibu, akakaidi, na wakati mwingine anajibu hadharani, na clips zipo.
Sasa inaelekea anavuna alichopanda.
Kabisa!Rubbish tupu. Kwa taarifa yako tu, kanisa hai lenye kumwabudu Mungu katika roho na kweli huwa halizuiliwi na mipaka, mapokeo ya kibinadamu. Refer kina Petro na Yohana baada ya kumponya yule kiwete pale kwenye mlango mzuri wakati wanakwenda kusali.
Viongozi wa dini wakawaita na kuwapiga biti mbaya kabisa, unajua walichosema? Walijibu "IMETUPASA KUMTII MUNGU, KULIKO WANADAMU". Wachungaji wa kweli husimama na kweli, no matter what.
Njaa kweli wewe, amekwambia familia yake imelala na chizi?Chizi kweli, amekwambia familia yake imelala na njaa?
Kiburi Siyo mungu.watumishi Wengi wana KiburiKanisa ka Kiinjili, la Kilutheri Tanzania, KKKT ina historia , na ni taasisi ya muda mrefu.