Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
HahaaaKutokuwa na mipaka ni anarchy.
Na kama unachosema ni kweli basi mshaurini Kimaro aondoke KKKT akawe kama Yohana mbatizaji, aliyekuwa sauti iliayo nyikani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaKutokuwa na mipaka ni anarchy.
Na kama unachosema ni kweli basi mshaurini Kimaro aondoke KKKT akawe kama Yohana mbatizaji, aliyekuwa sauti iliayo nyikani.
Usimfananishe Bwana Yesu kwenye zamani zile na zamani hizi..Yesu hakuwa na kipato binafsi pembeni.
Yohana Mbatizaji vilevile, alikula asali na nzige jangwani, lakini bado alipata wafuasi wengi.
Naomba kujuzwa,kwa mujibu wa structure ya utawala ya KKKT,Mchungaji anawajibika kwa Askofu au kwa Katibu Mkuu wa Kanisa?Unadhani uaskofu unagombewa kama ubunge au udiwani au wewe unautaka ukagombee !!!
Umaarufu wa usharikani kwako ndo ukufanye ufae kuwa Askofu!!
Unafikiri KKKT ni sawa na pentenkoste kama la marehemu Askofu Kulola ambaye alivyoona ana karama kumzidi Askofu aliyekuwepo naye akajipa uaskofu mpaka mahakama ikawatenganisha.
Tuna utaratibu tofauti sana na ukionekana unautaka ndo huupati.
Katibu Mkuu ndiyo Muajiri mkuu.Naomba kujuzwa,kwa mujibu wa structure ya utawala ya KKKT,Mchungaji anawajibika kwa Askofu au kwa Katibu Mkuu wa Kanisa?
Kwa maana hiyo yeye ndiyo mwenye mamlaka ya kumpangia sehemu ya kazi pia? Kama ni huvyo why sasa lawama za kuondolewa Mchungaji anapewa Malasusa? Au Katibu Mkuu anapokea maelekezo kutoka kwa Askofu?Katibu Mkuu ndiyo Muajiri mkuu.
IIa lazima tukubaliane kuwa Doyasisi ya mashariki na Pwani chini ya Mwalasusa ina matatizo mengi sana miaka yote!
'Saa ya ukombozi ni sasa': By Mch. Hananje
Taarifa za chini chini ni kwamba Kimaro alikuwa anajipanga kuchukua nafasi ya Malasusa ambae kapwaya kweli kweli.Mtumishi akiwa na Karama au upako lazima aongozwe na hekima na siyo jeuri na kiburi cha kufanya na kusema atakavyo kwa kujiona yuko juu ya taratibu zilizowekwa. [emoji818][emoji817]
ila sikushangai maana hata huko kwenu ccm mkiambiwa ukweli mnaona kuwa ni matusiUbinafsi, jeuri na kipato binafsi ndivyo vinavyomsumbua Kimaro.
Anaitumia karama yake vibaya.
Akiona anazongwa, akawe Yohana mbatizaji nyikani, tutamsikia tu.
Huyu Askofu kwanza nasikia kazaa na Mchg fulani.IIa lazima tukubaliane kuwa Doyasisi ya mashariki na Pwani chini ya Mwalasusa ina matatizo mengi sana miaka yote!
'Saa ya ukombozi ni sasa': By Mch. Hananje
Malasusa angebaki wapi !.Kimaro angebaki Moshi au?
Dar es salaam!Malasusa angebaki wapi !.
Utamtiije Mungu kama hutii viongozi wako na utaratibu uliowekwa na kanisa? Hio kichwa acha kubebea kamasi tu!Rubbish tupu. Kwa taarifa yako tu, kanisa hai lenye kumwabudu Mungu katika roho na kweli huwa halizuiliwi na mipaka, mapokeo ya kibinadamu. Refer kina Petro na Yohana baada ya kumponya yule kiwete pale kwenye mlango mzuri wakati wanakwenda kusali.
Viongozi wa dini wakawaita na kuwapiga biti mbaya kabisa, unajua walichosema? Walijibu "IMETUPASA KUMTII MUNGU, KULIKO WANADAMU". Wachungaji wa kweli husimama na kweli, no matter what.
Dar waliostahili Dar ni Hananga,Chuma na wazaramo wengine huyu wampeleke huko Tukuyu.Dar es salaam!
Unaweza kutafuta kichaka Cha kujificha, lakini haihalalishi kiburi kama kweli kipo! Lazima amtii MUNGU na waajiri wake pia.Rubbish tupu. Kwa taarifa yako tu, kanisa hai lenye kumwabudu Mungu katika roho na kweli huwa halizuiliwi na mipaka, mapokeo ya kibinadamu. Refer kina Petro na Yohana baada ya kumponya yule kiwete pale kwenye mlango mzuri wakati wanakwenda kusali.
Viongozi wa dini wakawaita na kuwapiga biti mbaya kabisa, unajua walichosema? Walijibu "IMETUPASA KUMTII MUNGU, KULIKO WANADAMU". Wachungaji wa kweli husimama na kweli, no matter what.
Ndugu johnthebaptist ,"Washirikiana" ni kati ya washarika na washirikina..Kwa namna unavyomsiliba ni lazima Mchungaji Kimaro ni tishio kwa Washirikiana!
Dada Mamndenyi ,hivi kweli "pasta" na "mchungaji" ni sawa!!??Haaa usiniambie humjui,
Ni Pasta hapo Kimara Kirogwe
Ndio faida ya kuzaliwa mjiniDar waliostahili Dar ni Hananga,Chuma na wazaramo wengine huyu wampeleke huko Tukuyu.
Ndio huyo huyo Mchungaji wa kondooDada Mamndenyi ,hivi kweli "pasta" na "mchungaji" ni sawa!!??