Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA SUALA LA KUSIMAMISHWA KWA MCH. DKT. KIMAROMimi ni Muumini wake mzuri sana pale Kitonyama Mkesha wa Mwaka Mpya nilikuwa hapo na Mch.Kimaro ana Mafundisho mazuri sana hasa ya Ki Imani.
Ila kwenye hili...
Mch.Kimaro anapaswa kuwa na hekima ya ki Mungu sana kwenye hili lililotokea...
Ingewezekana hata ile kuaga angeaga kawaida tu kama Wachungaji wengine wanavyoaga kwenye Sharika zao wakipata Uhamisho ila ile kuaga ameonesha kuna uonevu kafanyiwa.(Ni Mtazamo wangu)
But yote kwa yote sijui nini kimetokea hadi kupelekea hayo..Nimuombee tu yamalizike salama na arejee kwenye kulisha Kondoo wake.
MpendwaYani ww una za ndaaani sema hujaamua kuzianika
Hakuna ajabuSioni kama kuna ajabu kwa mchungaji kuhamishwa, mimi nimekulia KKKT, Nimesoma shule za KKKT na wachungaji walikuwa wanahamishwa kama kawaida tu.
Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro!
Kazi ya kitume ni kama mvua, inanyesha kwa wakati wake na kupisha kwa muda ili shughuli zingine zifanyike, mpate muda wa kupanda, kuvuna, na hata kuezeka panapovuja.
Yamkini mvua ya mahubiri ya mchungaji kimaro ilipendwa na wengi, ili stawisha imani za watu wengi, ili punguza joto kali la mizigo.
LAKINI Tusisahau mvua za namna hii kwa upande mwingine zina majanga yasiyoonekana bayana!
Yamkini kupitia mvua hii watu walizibua mitaro yao, yamkini mvua hii ilileta limonia,yamkini kuna mahali palivuja sana.
Hivyo mambo kama hayo huwezi kuyaelewea kama ukiitazama mvua kwa lengo la masika!
Mchungaji ELIONA KIMARO ANAWEZA KUWA NA SHIDA GANI?
Mimi siyo kiongozi wala muumini wa KKKT! Mimi bado natafta kanisa zuri hata humu jf niliwahi kuuliza kanisa gani zuri ili nikajiunge.
Hivyo Kwa uzoefu wangu na elimu yangu ndogo ya kuchunguza matukio kama haya ikiwemo migogoro ya kiimani, kijamii, mauaji, siasa na uchumi n.k
Naweza kusema mchungaji ELIONA KIMARO Ana sifa zifuatazo
ELIONA KIMARO ni mchungaji mzuri sana! Na hili ni lengo la kanisa ikiwemo kanisa hili la KKKT!
- Mchungaji kimaro analijua andiko analolihubiri
- Mchungaji kimaro anawajua waumini anaowahubiri na shida zao
- Mchungaji kimaro anaijua vyema jamii anayo ihubiri
- Mchungaji kimaro hayumbishwi hasa pale anapokuwa kapanga jambo lake!
- Mchungaji kimaro siyo msimamizi mzuri wa rasilimali na fedha za kanisa ( fedha ni rahisi kupotea mikononi mwake)
- Mchungaji kimaro kwa kutambua karama yake anaitumia kuficha madhaifu mengine hasa kwenye matumizi ya fedha!
- Kuna uwezekano mkubwa wa wa kuonywa lakini kwa kiburi cha kupendwa na waumini aliamini hagusiki!
- Kwa karama yake ya kichungaji alipogundua viongozi wakuu wake wana jambo naye! Alianzisha semina nyingi za mafunzo ili atakapoitwa WAUMINI Waone kama kuna shida!
Lakini kwasababu kanisa lina hitaji uponyaji wa kiroho, kimwili na kiuchumi! Ni lazima VIONGOZI wake wangefanya hivyo walivyofanya! HAWAJAKURUPUKA
Hata viongozi wanaweza kuwa wanampenda sana ELIONA KIMARO Lakini haina budi kupisha eneo hilo linalohitaji usimamizi bora wa kiroho, kimwili na kiuchumi.
Ikiwapendeza viongozi wanaweza kumrudisha lakini awe chini ya usimamizi wa mchungaji mwingine!
Lakini kwa kutambua nguvu aliyonayo kimaro kuwa chini ya mtu palepale Kijitonyama ni changamoto!
Huenda viongozi wameona ni bora sasa akatumike na kwingine.
Kama lengo lingekuwa moja tu kuinjilisha huenda wangemuacha.
Lakini kwasababu linahitaji kukua zaidi kiroho na kiuchumi, ndiyo maana VIONGOZI WAMEFIKIA UAMUZI HUU.
Endeeleeni kusubiri taarifa ya KKKT lakini nauhakika haiwezi kuwa mbali na maoni yangu.
Wewe unampenda kimaro, Viongozi wanampenda kimaro lakini tusisaha Kanisa la KKKT ni kubwa kuliko Kimaro.
Tuliokaribu naye tumsihi asiwaone wabaya viongozi, alipokee kwa wema na akatumike popote atakapopangiwa.
Mapadri wa kikatoliki huhamishwa, wachungaji KKKT huhamishwa, Kimaro asione ajabu kuhamishwa.
Yesu alihubiri Galilaya, Yerusalem, Kapenaumu hata kirindini kwa wavuvi
Kwanini KIMARO ang'ang'ane pale pale kijitonyama? HAMJIULIZI?
JF ukweli na uwazi.
IlikuwajeJamani munamkumbuka Askofu Dr. Mwaikali?
Waumini wanauliza waende wapi! Mimi nawashauri watulie! Ametoka KIMARO ATAKUJA KIMARIOASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA SUALA LA KUSIMAMISHWA KWA MCH. DKT. KIMARO
Taarifa za kupewa likizo na kusimamishwa kwa muda kwa Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Usharika wa Kijitonyama Mch. Dkt. Eliona Kimaro zimeanza kuenea katika mitandao ya kijamii na kuzua hisia nzito miongoni mwa waumini na wasio waumini wa KKKT. Kimaro ni miongoni mwa watu maarufu, hivyo suala hili haliwezi kuchukuliwa wepesi.
Hapa tumeweka tazamo wetu wa kitheologia ili kutoa mchango wetu katika hoja hii. Ni dhahiri kuwa misimamo binafsi ya Mch. Dkt. Kimaro imemtia katika misuguano mingi na uongozi wa KKKT kwa kipindi kirefu. Lakini, misimamo hiyo iliweza kuvumiliwa ndani ya KKKT na ndio maana alipewa kuongoza Usharika mkubwa katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Tumefuatilia kutoka kwa baadhi ya viongozi ndani ya Dayosisi ya Mashariki na kuelezwa kuwa matamshi ya Mch. Dkt. Kimaro aliyoyatoa hivi karibuni baada ya kutoka Marekani ndiyo yaliyopelekea uongozi wa Dayosisi kumuita na kumpa likizo ambayo imeibua hisia na mjadala mzito baada ya yeye Mch. Dkt. Kimaro kutoa hadharani jambo ambalo lilikuwa ni karipio la Kichungaji.
Kwa mujibu wa video iliyosambaa, Mch. Dkt. Kimaro amesikika akisema kuwa vijana wa Kikristo sio waaminifu bali vijana wa Kiislamu ndio waaminifu kuliko vijana wa Kikristo. Mch. Dkt. Kimaro amesikika pia akisema kuwa watu wote wanaosimama madhabahuni [Wainjilisti, Wachungaji na Maaskofu] ni matapeli na watu wote waliokaa kwenye viti [vya ibadani - Wazee wa Kanisa na waumini] ni matapeli pia. Mch. Dkt. Kimaro amekwenda mbali zaidi na kusema kuwa takwimu [hajataja ni takwimu gani na taasisi iliyotoa takwimu hizo] zinaeleza hayo aliyosema.
Kitheologia tunapata tafsiri kuwa Mch. Dkt. Kimaro hana imani na maadili ya Kikristo, hana imani na mafundisho ya Kikristo na pia hana imani hata na watumishi wenzake wote wa Kikristo kutoka madhehebu yote nchini Tanzania. Tafsiri hapa ni kuwa Mch. Dkt. Kimaro anaonesha kuwa ana imani na maadili ya Kiislamu, mafundisho ya Kiislamu na hata Mashehe wa Kiislamu. Pia, Mch. Dkt. Kimaro anaonesha kuwa hana imani pia na hata vijana wake wa Kikristo ndani ya KKKT na nje ya KKKT ambao siku zote yeye mwenyewe amekuwa akiwafundisha katika ibada, mikesha, semina, morning glory, bali ana imani kubwa na vijana wa Kiislamu ndio maana akawaajiri hao katika miradi yake.
Mtumishi ye yote (Mwinjilisti, Mchungaji/Padre au Askofu) kutoka katika madhehebu yetu ya Katholiko (RC, Moravian, Lutheran, Anglikana na Orthodox) akitoa kauli kama hizo, ni lazima aitwe na uongozi wake, ahojiwe na hata ikibidi achunguzwe. Hicho ndicho kilichotokea kwake Mch. Dkt. Kimaro kuitwa na uongozi wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani, kuhojiwa na kuchunguzwa. Kauli zake alizotoa zimepingana na imani, mafundisho na maadili ya Kikristo! Kauli ya Mch. Dkt. Kimaro hayakushambulia Ulutheri tu, bali kwa kujua au hata kutokujua, kauli yake ilishambuliwa Ukristo wote kwa ujumla katika nchi hii.
Kwa sababu hiyo, sisi Askofu tunatoa wito kwa waumini wote wa Kikristo nchini kuwa watulivu wakati KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani inashughulikia jambo la Mch. Dkt. Kimaro. Sisi tumelazimika kuandika baada ya kuona kuwa jambo hili limeanza kusambaa mitandaoni na kubeba hisia zaidi kuliko uhalisia na pengine kubeba upotofu mwingi zaidi kuliko ukweli.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula
Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki.
Ametoka KIMARO atakuja kimarioAti wewe ni muumini wa Eliona Kimaro? [emoji848][emoji848]
kuna video alikua anawaombea waumini baada ya kuwaaga huku analia, sasa sijui naye alikuwa analia nini Mch kimaroMimi ni Muumini wake mzuri sana pale Kitonyama Mkesha wa Mwaka Mpya nilikuwa hapo na Mch.Kimaro ana Mafundisho mazuri sana hasa ya Ki Imani.
Ila kwenye hili...
Mch.Kimaro anapaswa kuwa na hekima ya ki Mungu sana kwenye hili lililotokea...
Ingewezekana hata ile kuaga angeaga kawaida tu kama Wachungaji wengine wanavyoaga kwenye Sharika zao wakipata Uhamisho ila ile kuaga ameonesha kuna uonevu kafanyiwa.(Ni Mtazamo wangu)
But yote kwa yote sijui nini kimetokea hadi kupelekea hayo..Nimuombee tu yamalizike salama na arejee kwenye kulisha Kondoo wake.
hapa Mch naye alikuwa analia nini sasa nayeye
Kuna mipango ya kuandamana nasikiaHaya ngoja tusubiri aisee
Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro!
Kazi ya kitume ni kama mvua, inanyesha kwa wakati wake na kupisha kwa muda ili shughuli zingine zifanyike, mpate muda wa kupanda, kuvuna, na hata kuezeka panapovuja.
Yamkini mvua ya mahubiri ya mchungaji kimaro ilipendwa na wengi, ili stawisha imani za watu wengi, ili punguza joto kali la mizigo.
LAKINI Tusisahau mvua za namna hii kwa upande mwingine zina majanga yasiyoonekana bayana!
Yamkini kupitia mvua hii watu walizibua mitaro yao, yamkini mvua hii ilileta limonia,yamkini kuna mahali palivuja sana.
Hivyo mambo kama hayo huwezi kuyaelewea kama ukiitazama mvua kwa lengo la masika!
Mchungaji ELIONA KIMARO ANAWEZA KUWA NA SHIDA GANI?
Mimi siyo kiongozi wala muumini wa KKKT! Mimi bado natafta kanisa zuri hata humu jf niliwahi kuuliza kanisa gani zuri ili nikajiunge.
Hivyo Kwa uzoefu wangu na elimu yangu ndogo ya kuchunguza matukio kama haya ikiwemo migogoro ya kiimani, kijamii, mauaji, siasa na uchumi n.k
Naweza kusema mchungaji ELIONA KIMARO Ana sifa zifuatazo
ELIONA KIMARO ni mchungaji mzuri sana! Na hili ndilo lengo la makanisa mengi ikiwemo kanisa hili la KKKT!
- Mchungaji kimaro analijua andiko analolihubiri
- Mchungaji kimaro anawajua waumini anaowahubiri na shida zao
- Mchungaji kimaro anaijua vyema jamii anayo ihubiri
- Mchungaji kimaro hayumbishwi hasa pale anapokuwa kapanga jambo lake!
- Mchungaji kimaro siyo msimamizi mzuri wa rasilimali na fedha za kanisa ( fedha ni rahisi kupotea mikononi mwake)
- Mchungaji kimaro kwa kutambua karama yake anaitumia kuficha madhaifu mengine hasa kwenye matumizi ya fedha!
- Kuna uwezekano mkubwa wa wa kuonywa lakini kwa kiburi cha kupendwa na waumini aliamini hagusiki!
- Kwa karama yake ya kichungaji alipogundua viongozi wakuu wake wana jambo naye! Alianzisha semina nyingi za mafunzo ili atakapoitwa WAUMINI Waone kama kuna shida!
Lakini kwasababu kanisa lina hitaji uponyaji wa kiroho, kimwili na kiuchumi! Ni lazima VIONGOZI wake wafanye hivyo walivyofanya! Kumuhamisha kwasababu za ndani za kiuchumi! HAWAJAKURUPUKA
Hata viongozi wanaweza kuwa wanampenda sana ELIONA KIMARO Lakini haina budi kupisha eneo hilo linalohitaji usimamizi bora wa kiroho, kimwili na kiuchumi kwa mstakabali wa kanisa zima!
Ikiwapendeza viongozi wanaweza kumrudisha lakini awe chini ya usimamizi wa mchungaji mwingine!
Lakini kwa kutambua nguvu aliyonayo kimaro kuwa chini ya mtu palepale Kijitonyama ni changamoto!
Huenda viongozi wameona ni bora sasa akatumike na kwingine.
Kama lengo lingekuwa moja tu kuinjilisha huenda wangemuacha.
Lakini kwasababu linahitaji kukua zaidi kiroho na kiuchumi, ndiyo maana VIONGOZI WAMEFIKIA UAMUZI HUU.
Endeeleeni kusubiri taarifa ya KKKT lakini nauhakika haiwezi kuwa mbali na maoni yangu.
Wewe unampenda kimaro, Viongozi wanampenda kimaro lakini tusisaha Kanisa la KKKT ni kubwa kuliko Kimaro.
Tuliokaribu naye tumsihi asiwaone wabaya viongozi, alipokee hili kwa wema na akatumike popote atakapopangiwa.
Asikuruouke KUHAMA au KIANZISHA KANISA ATAPOTEA, Atambue kwamba mbio zake ni kama samaki baharini,
Kimaro anaonekana kupiga mbizi za kuvutia akiwa ndani ya KKKT, akitoka inje ATAPOTEA!
KKKT ni bahari inayomfanya a-shine!
Asithubutu kutoka Bali atii mamlaka yake ilivyoamua!
Mapadri wa kikatoliki huhamishwa, wachungaji KKKT huhamishwa, Kimaro asione ajabu kuhamishwa.
Yesu alihubiri Galilaya, Yerusalem, Kapenaumu hata kirindini kwa wavuvi kanisa!
Kwanini KIMARO ang'ang'ane pale pale kijitonyama na sio kwingine? HAMJIULIZI HILO?
JF ukweli na uwazi.
View attachment 2484976
Yule ni mwalimuBora mzee nacheki wangu mwakasege alikataa mambo ya uchungaji
HahahBwashee anakula mwenyewe hataki kutoa bahasha kwa mkubwa.
Mwenzie kaksai ni mtoto wa mjini anaachia mzigo ndio maana pale hajaamishwa ila kawekewa msaidizi yeye akapewa msimamizi wa miradi
NAUNGA MKONO HATUA ZA KANISA KUMSIMAMISHA KAZI.Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro!