Bora alikimbilia maana anajijuwa. Hata mwanafunzi bora darasani anapokwenda kuangalia matokeo matumaini yake ni kujiona katika namba za juu.Najua sana ulipoona kichwa cha habari ukakimbilia ukijua KOLO litakuwemo ulipolikosa ndipo ukaamua kumalizia hasira zako kwangu
Mada zikiletwa na UTO ni shombo tupu.kwa hiyo Timu bora AFRIKA haionekani mpaka tutaje 20, tangu lini ishirini ikawa Bora afrika yenyewe ina nchi 50+ sasa ishirini si ni karibu nusu ya vilabu vyote vya maana
We ubongo kamasi kweli!! Usikariri kiuto uto.Hakunaga 20 bora ubora unaishia 10
mtu anaanzisha uzi kuicheka team inayoshika namba 12 , nani alijua leo as vita ingekuwa ya 22,mazembe ya 8 imeizidi simba hatua tatu tuHata ukiweka top 50 utopolo haipo
Hiyo weka wewe timu inatumia billion 85 haipo hata top 10!! Huyu muhamedi ...weka top 100 utaikuta team lako namba 79
wanaume wenu wa sauzi wanaingia week ijayo utakuwepo kuwapokea msukule alishatoa maelekezo?Simba wapo busy kujisifu kuwa ni club ya kwanza Tanzania kutumia VAR😀, naona ndiyo kombe lao msimu huu!!
Baby imekuumae chomoaa😀😀wanaume wenu wa sauzi wanaingia week ijayo utakuwepo kuwapokea msukule alishatoa maelekezo?
Hivi kwanza CAF 5 years ranking mmeijulia wapi utopolo? sikutarajia kama ningekutana na mwana utopolo mwenye akili cha kujua hilo ila si nilisikia simba ni ya 352 afrika imekuwaje leo ya 12 tena?Hiyo weka wewe timu inatumia billion 85 haipo hata top 10!! Huyu muhamedi ...
Mbona huelewiki😀Hivi kwanza CAF 5 years ranking mmeijulia wapi utopolo? sikutarajia kama ningekutana na mwana utopolo mwenye akili cha kujua hilo ila si nilisikia simba ni ya 352 afrika imekuwaje leo ya 12 tena?
Naomba atoe na point za Simba toka 2018Hebu jikiteni kwenye mada haya mengine ni ushamba na kuwa poor thinkers!!
Nasikia msimu huu kombe la Simba ni VAR 😀
unamanisha sieleweki kwa ile meseji uliyonitumia inbox? nimekwambia mimi sigongi wanaume kama una dada nigee freshMbona huelewiki😀
Hata wewe unaweza kuanzisha mada hiyo. Kutukana kinaonesha ulivyo mweupe kichwan!! Jibu mada husika huwezi pita hivi hapa sio Facebook.Naomba atoe na point za Simba toka 2018
acha kunitumia meseji za kijinga inbox matter of fact nipotezee aisee utanitia mikosi kabisaHata wewe unaweza kuanzisha mada hiyo. Kutukana kinaonesha ulivyo mweupe kichwan!! Jibu mada husika huwezi pita hivi hapa sio Facebook.
IQ ndogo huwa haziwezi kujadili mambo zaidi ya kuamini katika kutoa lugha chafu 😀. Basi sawa kidume nitumie nauli!!unamanisha sieleweki kwa ile meseji uliyonitumia inbox? nimekwambia mimi sigongi wanaume kama una dada nigee fresh
😀 Sawa kidume sitakutumia!!acha kunitumia meseji za kijinga inbox matter of fact nipotezee aisee utanitia mikosi kabisa