Nachukua nafasi hii kuwapongeza wachezaji na benchi la ufundi la Simba Spotrs Club kwa kazi nzuri waliyoifanya leo.
Wachezaji waliokuwa na makosa madogo madogo wanapaswa kuyafanyia kazi mapungufu yao, mimi niliona hivi.
Lwaga.
Apunguze kucheza rafu.
Chama.
Alikuwa slow kufanya maamuzi, km kuchelewesha pasi. (acheze haraka)
Bwalya.
Alipoteza pasi nyingi, (awe makini.)
Shabalala.
Bado anakaba kwa macho yule beki 3 alikuwa anampita kiwepesi sana.
Kagere
Yuko slow kimataifa, kunagoli angeweza kufunga angekuwa shap, golikipa wa Vita alitoka Langoni.
Mugalu.
Bado mzito, aache mazoezi ya kunyanyua vyuma. Amsikilize kocha wa mazoezi amshauri mazoezi bora kwake.
Wachezaji wote wajifunze.
Kukaba
Kulenga goli wakipiga mpira, kuwa na target (wanapaisha mipira sana).
Kujifunza kupiga faulo na kona na Penati.
Mabeki, watumie pasi ndefu, kupasiana nyuma kuwe kwa sababu maalum tu.
Wajifunze kukaba mipira ya juu, Krosi na Kona.
Kwa leo.