Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo naamini Vita anashinda si chini ya goli tatu! Over.
Haya rudi madimbwini ukaogeleeMapema tu leo as vita club tunafanya yetu
Labda kushinda njaa
Nachukua nafasi hii kuwatakia As Vita ushindi wa kishindo kabisa yaani wamalize mpira dakika 45 za mwanzo tu, hizo 45 za pili ziwe ni kufanya mazoezi ya pamoja nao
Wenye 5imba yenu Troisième Ceil , Penison ,Joanah , Shunie ,Lupweko muje muje mtuambie leo tutaokota ngapi kambani eti. Teh.
Dooh!! Nimejikuta naukumbuka ule usemi wa mtani wangu Ghazwat "mwana kulitaka mwana kulipewa"
Mnalo hilo watani na tumeamua kuwaamshia dude la uzi mapeeema kabisa. Mshindwe wenyewe. 😅😅😅😅
#Ukinunauwenasababu.
AisehhhhHuyu lwanga huyu hakati umeme tu, anang'oa na service line kabisa
Umetutendea haki mno ubarikiwe.Naaaaam Barabara kabisa,
Ndugu wadau wa Michezo wa hapa Jamiiforums na kwingineko karibuni katika Live updates(Matukio Mubashara) kutokea hapa Kinshasa katika Dimba la Stade De Martyrs, uwanja wa nyumbani wa Timu ya AS VITA CLUB ambapo kuna "patashika nguo kuchanika" au unaweza kusema kipute cha ligi ya mabingwa hatua ya makundi katika Kundi A baina ya Wenyeji AS VITA ya hapa Congo na Simba Sports Ckub kutokea Tanzania.. Mechi hii itachezwa Saa Mbili usiku ( Kwa saa za hapa DR Congo na Saa 4 usiku kwa saa za Tanzania).....
Quality gani unayoizungumzia?Ushindi mzuri ila sikufurahishwa na quality kwa team zote mbili ukichukulia haya ni mashindano makubwa ya vilabu Africa ulitegemea kuona quality katika uchezaji ila mwanzo mzuri sana kupata point 3 ugenini.
Team zote mbili zimecheza katika viwango vya chini mipira mingi pass hazikuwa zinafika wachezaji, walikuwa wanapoteza sana mipira hata mchezaji bora kama Chama alikuwa anapoteza sana na slow.Quality gani unayoizungumzia?