Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtabadili approach mkicheza nao.View attachment 1701125Timu ndogo hizi zinatukamia sana! Acha tulale tu.Hongereni watani but coacher wenu angebadi game approach you could have scored more mmecheza na as vita dhaifu zaidi kuwahi kuiona.lakini HONGERENI, next stop is al haly Ni ndugu zetu kabisa hawa sisi wanajangwani
Itakua wiki nzuri sanaKesho Utopolo wanakeketwa live
Wamebaki kibanda umiza wanatafuta eti mwiko wao kama unao wape basi mkuuMbona yanga siwaoni humu?
Ngoja niwafate kwenye uzi wao
Machoni kwangu shabiki yeyote wa yanga hata kama hajafanya kosa, kwangu hilo ni kosa piaMsamehe tu mkuu sahivi tuko uchumi wa kati
#tunatakamabilioneawengiwakitanzania
Al ahly ni jezi nyekundu na nyeupe. Na wana urafiki na simba kama unabisha muulize babra alienda kempu ya al ahly akapewa madiniView attachment 1701125Timu ndogo hizi zinatukamia sana! Acha tulale tu.Hongereni watani but coacher wenu angebadi game approach you could have scored more mmecheza na as vita dhaifu zaidi kuwahi kuiona.lakini HONGERENI, next stop is al haly Ni ndugu zetu kabisa hawa sisi wanajangwani
Record breakers Nigeria and now Congo, next Egypt kwa al ahalyKesho Utopolo wanakeketwa live
Mpe mwiko wake ww usitafute matatizoKuna jirani yetu shabiki wa Yanga ananitishia maisha.
Poa ila angalizoMachoni kwangu shabiki yeyote wa yanga hata kama hajafanya kosa, kwangu hilo ni kosa pia
Siwezi kumsamehe labda nimbadilishie adhabu, nampa fursa auze utumbo afu hesabu anakabidhi kwangu
Goli lilivoingia nikaona jamaa mmoja wa utopolo anajibipu kajifanya anaongea na simu kazunguka upenuni huyo akatimka mazimaWamebaki kibanda umiza wanatafuta eti mwiko wao kama unao wape basi mkuu
Nilikuepo mbona, nilizitoa kupitia post #1Wapi Joseverest kutuletea updates?
Utumbo wake anautoa uliwe au asuguliwe utumbo[emoji23]Kuna muuza utumbo hapa mtaani ni team kidimbwi alisema tukishinda anagawa utumbo wote
Sasa kesho atatoa utumbo wa ng'ombe na wake pia atatoa
Yanga sisi wastarabu harafu sisi tunacheza kesho MadameKuna jirani yetu shabiki wa Yanga ananitishia maisha.