Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Tukichukua tena muanze kusema caf na tff ni simba aya tumekupata, tunza vizuri huo mwiko wako kazi bado haijaishaLabda ubingwa wa kichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukichukua tena muanze kusema caf na tff ni simba aya tumekupata, tunza vizuri huo mwiko wako kazi bado haijaishaLabda ubingwa wa kichaa
Mmehamisha goli ?Simba wasibweteke, mwalimu bado ana kazi kubwa.. hii quality ya mpira sio ya kushindana na waarab
Dah sio kila mwiko unafaa kugeuza makande.Simba wasibweteke, mwalimu bado ana kazi kubwa.. hii quality ya mpira sio ya kushindana na waarab
Ukirudi nitag😅😅😅Simba atakalia kitu kirefu chenye ncha
Ukirudi nijuze mkuu🤣🤣🤣Simba ni paka aliyechanganka leo lazima atakalia ukuni
umechakatwa mpka imekuwa nyekunduSimba ni paka aliyechanganka leo lazima atakalia ukuni
Ukirudi nitag tupige stori😉😉😉Labda kushinda njaa
Nafikiri ulipo huko ushakojoa unalala😂😂😂Leo simba anaenda kutia aibu bendera yetu na wimbo wa taifa, naiomba serikali iwazuie simba kutumia nembo za nchi wakiwa mechi za ugenini
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Naona mmefanywa🤣🤣Mapema tu leo as vita club tunafanya yetu
Nafikiri unasambaza upendo sasahivi😃😃😃Mtu anapigwa goli 5 alafu kwenye jezi ameandika visit Tanzania hakika hawa jamaa wamedhamilia kuiabisha nchi kimataifa
😂😂Safi sana, dua la kuku yaaniNawatakia Vita ushindi mnono.
SABA ZIMESHINDIKANA SIYO MNATOA USHAURI SASA HAYA ASANTENI KARIBUNI TAREHE 23 TULIWAMBIA HATUOGOPI MTU SISISimba wasibweteke, mwalimu bado ana kazi kubwa.. hii quality ya mpira sio ya kushindana na waarab
KumbeeeNilichogundua, wachezaji wa AS Vita wana miili mikubwa kiasi kwamba Simba wanaonekana kama vitoto uwanjani[emoji4]
YAANI HAO WANA GOALS ZAO TATU SAFARI HII DUNIA ITAJUA VISIT TANZANIA MAANA YAKE NINIAl Ahly wachumba tu,waje hata kesho tunawapiga kifo cha mende
Vumbi tunawaletea wasiokuwa nanguvu z kiume pale jangwani wameshindwa kumkaza mgosi wa kaya tangaLile vumbi la Congo limeishia wapi, bado mtaendelea kuwapokea wageni. Ile rani ya afrika inaashilia umalaya wa upotolo maana kila siku atabadilisha mabwana wa kushangilia afrika
WAMENUNAAAAAAAAA KUNA MMOJA KAPASUA SIMU YANGU TUMELEWA KAKIMBIA SAWA TU BADO INAUNGA WI FI NIPO KWNYE COMPUTER MAZAFAKA...SIMBA SIMBAA SIMBAA WAMEBAKI KUTUTISHA WAARABU YA VUMBI LA CONGO YAMNEISHA TAREHE 23 TAIFA AL AHLY ANAKUFA 4-0 MAMAME MAMAMAAAA AMINAAAAAAAAA.....Goli la mugalu limeingia kidimbwi chubwiii