Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Leo tutashuhudia total war inavyogeuzwa kuwa total failure,mbinu za kupulizia dawa chumba cha kuvalia jamaa wameingia na gas detector inanusa halia ya hewa,wamepulizia madawa chumba kizima kwa dk 15 ndipo wachezaji wameingia,ubalozi wa misri umeweka ulinzi wa hatari.Sasa ngoja goma lipigwe

Vipi Dada Nyani Waarabu waliokuja ni Photocopy sio wenyewe?
 
Wameshinda wameshinda tu
ewe shabiki wa UTO unayeishi kwa historia, kuna thread moja ulisema Simba haiwezi kumfunga Al ahyl nikakwambia baada ya dk 90 nitakutafuta.
sasa niko hapa, Unakionaje kikosi cha Simba? hivi husikii aibu?
next time tambua kwamba mpira ni mikakati na mipango, hata ukiwa na pesa kama huna mipango ni bure tu... ref:man united,real madrid,chelsea na liverpool wanachokipitia wakati huu ijapokuwa wanapesa na wana wachezaji wa quality ya hali ya juu
 
1614093631940.png


naiomba CAF isimfanyie undava huyo mchezaji wa al ahly wamuachie aendelee kubaki nayo hiyo tuzo wala wasimnyang'anye kumpa miquison

najua ni mlitoa tuzo kimakosa ila siwalaumu sana kwasababu hamkupata nafasi ya kuona golden leg kutoka kwa konde boy

chonde chonde msimnyang'anye tuzo yake jamani naye kumbukeni naye ni mtu mtaendelea kumuona katika ubora wake akicheza mechi na timu zingine tofauti na simba
 
Back
Top Bottom