rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kwa post uliyotoa,, ni ushahidi waliofanya fujo ni mashabiki wa utopolo waliovaa jezi za Simba.I salute you kinsmen.
Wakuu mimi mshabiki wa simba kindaki ndaki nimeumia sana sana CAF kutufungia .
Yaani wametufanya wafungwa nchini kwetu? Sijapenda na ticket nimeshanunua mpaka simba mwenzangu ndugu Tate Mkuu ameahidi atakuja mjini kuwatazama simba na ticket nimemchukulia..!
Halafu vurugu walifanya waarabu sio sisi, kama haitoshi vielelezo vipo vya kutosha kuonesha kuwa waarabu ndiyo waling'oq viti sio sisi simb mfano huu hapa.
View attachment 3202390
PICHANI HAPO JUU MWARABU AKING'OA VITI NA KUWARUSHIA MASHABIKI WA SIMBA, IJAPOKUWA NI MWARABU MWEUSI ..
CAF WANATUONEA SANA.
Tuliza koo kwa Mo cola..Kwahiyo, kung'oa viti ndo unajihami na nini?
Weeee mi niliku nishabuku sgr braza..na tulikua kama 10 tuje huko...chezeiyaaaThubutuu, watu waache kwenda kuuza sabuni na mo cola waje uwanjani 😅
Tuliza koo na Mo colaHawa makolo lipo linalowakuta, wao ndio waanzilishi wa vurugu halafu wanapata upendeleo sana. Ile mechi ya Yanga na Al Ahly video zilionyesha kabisa ni makolo waliingilia mechi ya Yanga wakafanya fujo sana hasa baada ya Yanga kusawazisha. Adhabu ikaenda kwa Yanga. Sasa kidogo kidogo CAF wameanza kuwashtukia mbumbumbu
Embu changia faini yenu ya kumg'oa viti kwanzaTuliza koo kwa Mo cola..
Nishachangia Afu 15 mapemaa...Embu changia faini yenu ya kumg'oa viti kwanza
View attachment 3202594
Ko mnabebwa mpaka huku sioKikubwa tumeshafuzu....ila CAF bwanaa wamesubira weeee hawakutaka kutupa stress..
Tuliza koo na Mo cola...Ko mnabebwa mpaka huku sio
Asante sana,Gusa achia twende CAFTuliza koo na Mo cola...
Daah katika vyote umeona hicho ndio kinywaji. Hakina ladha kabisaTuliza koo na Mo cola
Basi chagua chochote mtani..usikaukwe kooDaah katika vyote umeona hicho ndio kinywaji. Hakina ladha kabisa
Tena huyo Mwarabu aliyevaa mzula mwekundu amekamatwa akiwa na kidhibiti kabisa! Halafu sisi mashabiki wa Simba eti ndiyo tunalazimishwa kulipa faini! Huu ni uonevu wa wazi kabisa kutoka CAF! 😩I salute you kinsmen.
Wakuu mimi mshabiki wa simba kindaki ndaki nimeumia sana sana CAF kutufungia .
Yaani wametufanya wafungwa nchini kwetu? Sijapenda na ticket nimeshanunua mpaka simba mwenzangu ndugu Tate Mkuu ameahidi atakuja mjini kuwatazama simba na ticket nimemchukulia..!
Halafu vurugu walifanya waarabu sio sisi, kama haitoshi vielelezo vipo vya kutosha kuonesha kuwa waarabu ndiyo waling'oq viti sio sisi simb mfano huu hapa.
View attachment 3202390
PICHANI HAPO JUU MWARABU AKING'OA VITI NA KUWARUSHIA MASHABIKI WA SIMBA, IJAPOKUWA NI MWARABU MWEUSI ..
CAF WANATUONEA SANA.
Mnaonekana kama wehu....Tena huyo Mwarabu aliyevaa mzula mwekundu amekamatwa akiwa na kidhibiti kabisa! Halafu sisi mashabiki wa Simba eti ndiyo tunalazimishwa kulipa faini! Huu ni uonevu wa wazi kabisa kutoka CAF! 😩
Yaani kutoka kutuita mbumbumbu, na sasa mnatuita wehu!! Hivi ni kwa nini mnatuonea sana sisi mashabiki wa Simba? 😩Mnaonekana kama wehu....
UmeelewaJifunze kuandika we 🐸wahed
Njooni mtaangalia mechi yenye burudani na mashabiki wenye nidhamu ya kutosha na mtajifunza kitu kuhusu nidhamu.Weeee mi niliku nishabuku sgr braza..na tulikua kama 10 tuje huko...chezeiyaaa
Hata 🐸 mwenzio hawezi kuelewaUmeelewa