Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

I salute you kinsmen.
Wakuu mimi mshabiki wa simba kindaki ndaki nimeumia sana sana CAF kutufungia .

Yaani wametufanya wafungwa nchini kwetu? Sijapenda na ticket nimeshanunua mpaka simba mwenzangu ndugu Tate Mkuu ameahidi atakuja mjini kuwatazama simba na ticket nimemchukulia..!

Halafu vurugu walifanya waarabu sio sisi, kama haitoshi vielelezo vipo vya kutosha kuonesha kuwa waarabu ndiyo waling'oq viti sio sisi simb mfano huu hapa.
View attachment 3202390
PICHANI HAPO JUU MWARABU AKING'OA VITI NA KUWARUSHIA MASHABIKI WA SIMBA, IJAPOKUWA NI MWARABU MWEUSI ..

CAF WANATUONEA SANA.
Kwa post uliyotoa,, ni ushahidi waliofanya fujo ni mashabiki wa utopolo waliovaa jezi za Simba.
 
Hawa makolo lipo linalowakuta, wao ndio waanzilishi wa vurugu halafu wanapata upendeleo sana. Ile mechi ya Yanga na Al Ahly video zilionyesha kabisa ni makolo waliingilia mechi ya Yanga wakafanya fujo sana hasa baada ya Yanga kusawazisha. Adhabu ikaenda kwa Yanga. Sasa kidogo kidogo CAF wameanza kuwashtukia mbumbumbu
Tuliza koo na Mo cola
 
Tuliza koo kwa Mo cola..
Embu changia faini yenu ya kumg'oa viti kwanza
1736950814194.png
 
I salute you kinsmen.
Wakuu mimi mshabiki wa simba kindaki ndaki nimeumia sana sana CAF kutufungia .

Yaani wametufanya wafungwa nchini kwetu? Sijapenda na ticket nimeshanunua mpaka simba mwenzangu ndugu Tate Mkuu ameahidi atakuja mjini kuwatazama simba na ticket nimemchukulia..!

Halafu vurugu walifanya waarabu sio sisi, kama haitoshi vielelezo vipo vya kutosha kuonesha kuwa waarabu ndiyo waling'oq viti sio sisi simb mfano huu hapa.
View attachment 3202390
PICHANI HAPO JUU MWARABU AKING'OA VITI NA KUWARUSHIA MASHABIKI WA SIMBA, IJAPOKUWA NI MWARABU MWEUSI ..

CAF WANATUONEA SANA.
Tena huyo Mwarabu aliyevaa mzula mwekundu amekamatwa akiwa na kidhibiti kabisa! Halafu sisi mashabiki wa Simba eti ndiyo tunalazimishwa kulipa faini! Huu ni uonevu wa wazi kabisa kutoka CAF! 😩
 
Mnaonekana kama wehu....
 
Back
Top Bottom