I salute you kinsmen.
Wakuu mimi mshabiki wa simba kindaki ndaki nimeumia sana sana CAF kutufungia .
Yaani wametufanya wafungwa nchini kwetu? Sijapenda na ticket nimeshanunua mpaka simba mwenzangu ndugu
Tate Mkuu ameahidi atakuja mjini kuwatazama simba na ticket nimemchukulia..!
Halafu vurugu walifanya waarabu sio sisi, kama haitoshi vielelezo vipo vya kutosha kuonesha kuwa waarabu ndiyo waling'oq viti sio sisi simb mfano huu hapa.
View attachment 3202390
PICHANI HAPO JUU MWARABU AKING'OA VITI NA KUWARUSHIA MASHABIKI WA SIMBA, IJAPOKUWA NI MWARABU MWEUSI ..
CAF WANATUONEA SANA.