Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Mmeyataka wenyewe Babu, mie wala sijasema chochote nimetoa tahadhari tu.

Mechi ya mwisho hiyo, jiandaeni vyema msifungwe nyingi tu maana kufungwa hakukwepeki.
Nilijua tu ulicholenga kutupigia nacho Mjukuu 😜

Mechi lazima tushinde na kwenda Fainali

Na ukiendelea kuwa Thomaso, utafanya nimwombe Mkwe akupe ruhusa twende wote Zanzibar tukashuhudie wote hiyo mechi 🤗
 
hatua kubwa sana hii waani,sasa walau tutaona jezi na sio madela
 
Mmeyataka wenyewe Babu, mie wala sijasema chochote nimetoa tahadhari tu.

Mechi ya mwisho hiyo, jiandaeni vyema msifungwe nyingi tu maana kufungwa hakukwepeki.
Mwanamke akiwa mchawi lazima auawawe.
 
Nilijua tu ulicholenga kutupigia nacho Mjukuu 😜

Mechi lazima tushinde na kwenda Fainali

Na ukiendelea kuwa Thomaso, utafanya nimwombe Mkwe akupe ruhusa twende wote Zanzibar tukashuhudie wote hiyo mechi 🤗
Babu hii nusu hamtoboi, haki vile.

Sitaki maneno mengi, tuweke dau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…