Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Je ni kweli? ile bil 20 ya MO hadi leo haijulikani alimlimpa nani.
 
Mbona kama matapeli
 
Hiyo ni pesa ndogo mno
Miaka 38 ukiwagawa miaka 5 kila mwaka Simba utapata billion 7
Hili Dili mbumbumbu wameliwa kudadek
Cc Grahams umemuona huyu ndugu yako alivyo ndumi la kuwili, kwenye ule uzi ameipongeza simba kwa kupata hilo dili na mkamsifia kumbe huku aliandika huu utopolo wake, kweli shabiki wa yanga ni wa yanga wao na akili ni kila mtu na njia yake
 
Uwanja wa watu 10k - 12k? Dunia ya leo? Si bora Simba wachanane hicho kijiwanja, aibu kabisa, 12k kiwanja gani hicho, poor kabisa Simba Management
 
Cc Grahams umemuona huyu ndugu yako alivyo ndumi la kuwili, kwenye ule uzi ameipongeza simba kwa kupata hilo dili na mkamsifia kumbe huku aliandika huu utopolo wake, kweli shabiki wa yanga ni wa yanga tu yani wao na akili ni kila mtu na njia yake
Pole mbumbumbu
Me laZima niwapopoe watani zangu
Siwapi amani kabisa
Ndo maana mbumbumbu wengi hapa jukwaani wananichukia mno
 
Pole mbumbumbu
Me laZima niwapopoe watani zangu
Siwapi amani kabisa
Ndo maana mbumbumbu wengi hapa jukwaani wananichukia mno
Tatizo siyo kuwapopoa tatizo unawapopoaje unatakiwa uwapopoe kwa facts siyo unaandika tu hata mashudu mradi nawe uonekane umewatania, unaweza kudhani kwa kufanya hivyo unawakera na huwapi amani kumbe wenzio wanakuona mpumbavu tu unacheka na kujitekenya mwenyewe, wewe huna tofauti na kina laban og and co nao hujiona wanajua kuchambua mpira na kuwatania wanasimba kumbe wanajichoresha na kuonekana vituko tu
 
Uwanja wa watu 10k - 12k? Dunia ya leo? Si bora Simba wachanane hicho kijiwanja, aibu kabisa, 12k kiwanja gani hicho, poor kabisa Simba Management
Ingawa na mimi napendelea uwanja wa Simba ufike walau mashabiki 30,000, ila huo wa 10K si ni sawa na uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar? Sasa uwanja wa Amaan ni mdogo kwa mechi za ligi ya ndani?

Ukiwa na uwanja standard wa mashabiki 25-30K, unaweza kutumia hata kwa mechi kubwa za ndani na nje vizuri tu na ukajiwekea makadirio ya hata miaka 10 kabla haujahitaji kufanya upanuzi.
 
Basi hongera mkuu
Mkataba ni mzuri mno
Tuombe uwe katika vitendo, sio katika maandishi kama billion 20 hewa za Mo

Hongera mwanzo mzuri
Usilalamike tena Leo nimeisifia Simba yako😀😂🤣
 
Uwanja wa watu 10k - 12k? Dunia ya leo? Si bora Simba wachanane hicho kijiwanja, aibu kabisa, 12k kiwanja gani hicho, poor kabisa Simba Management
Kwani Azam Complex au KMC kinaingiza watu wangapi? Kwa mtazamo wako
 
Kwahi hawawezi zalishia hapahapa? Mbona PUMA zinazalishwa moro na haziuzwi hapa nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…